SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,104
- 75,552
CCM mataahira sana.Chadema ni wapumbavu sana ruhusa ya spika hiingilii muhimili wa mahakama ,nyambafu kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
CCM mataahira sana.Chadema ni wapumbavu sana ruhusa ya spika hiingilii muhimili wa mahakama ,nyambafu kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nim tweet Mike PompeoPompeo hana habari hizo
Almost watu wote wa sayari hii wanapenda kwenda Marekani, both Matajiri na MasikiniWatu kumbe wanaipenda Marekani eeh? [emoji1787][emoji1787]
USA baby [emoji631]
Which country under the Sun that surpasses the US?Watu kumbe wanaipenda Marekani eeh? [emoji1787][emoji1787]
USA baby [emoji631]
Habari zipi manka?!Pompeo hana habari hizo
Almost watu wote wa sayari hii wanapenda kwenda Marekani, both Matajiri na Masikini
Mimi sijawahi kufika lakini natamani kufika
Waislam wanaita USA ni nchi ya Makafiri lakini kila siku tunasikia wakimbizi kutoka nchi za kiislam wakikimbilia USA na Ulaya ili kuishi huko.
Hata wasomi wengi wanapenda kusoma huko
Mtanzania anayechukia kwenda Marekani sijui atakuwa na sababu zipi za msingi
Sent using Jamii Forums mobile app
labda kama huna akili ama umejisahaulisha makusudi .Bilionea anategemea ruzuku ya Chadema?
Wewe ndio unayejisahaulisha bwashee!labda kama huna akili ama umejisahaulisha makusudi .
Umewehuka ?Hawa wanataka kukimbia nchi kijanja. Wanakwenda nje wanatukana nchi halafu wanaishia kusema wanaogopa kurudi Tanzania.
Hii yote ni kukimbia aibu ya mwezi October. Nilisha sema huu mwezi ukifika hakutakuwa na chama cha upinzani chenye nguvu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unapiga ramli eeh !!Hawa wanataka kukimbia nchi kijanja. Wanakwenda nje wanatukana nchi halafu wanaishia kusema wanaogopa kurudi Tanzania.
Hii yote ni kukimbia aibu ya mwezi October. Nilisha sema huu mwezi ukifika hakutakuwa na chama cha upinzani chenye nguvu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeambiwa ni safari ya kibiashara siyo kisiasa bwashee!CCM Mpya na serikali yake waoga sana, kusikia Mh. Mbowe safari yake ingemfikisha mpaka Uswisi
Tundu Lissu: Kamati ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Yatoka na Maazimio nane dhidi yake
Fight for the rights of persecuted MPs Fight for strong democratic parliaments serving the people "National Parliaments and citizens should operate in solidarity to put an end to abuses against MPs. It takes persistence. It means NEVER GIVING UP." - President of the IPU Committee on the Human..
Si vema kusema hivyo, Kwan waziri mkuu alisema nchi hii haiongozwi kibabe, sasa kakosa nini hadi azuiliwe kwenda U.S.Hawa wanataka kukimbia nchi kijanja. Wanakwenda nje wanatukana nchi halafu wanaishia kusema wanaogopa kurudi Tanzania.
Hii yote ni kukimbia aibu ya mwezi October. Nilisha sema huu mwezi ukifika hakutakuwa na chama cha upinzani chenye nguvu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaona kumzua ni nji sahihi??si anatuma barua tu akiea hapa hapa?? Wanaogopa Mbowe kweda kukutana na Zitto na Lisu.Mwenyekiti wa CHADEMA ambaye pia ni mfanyabiashara maarufu mh Freeman Mbowe amezuiliwa na mahakama ya kisutu kwenda nchini Marekani, Uingereza na Uswisi kwenye shughuli zake za kibiashara.
Mkurugenzi wa uchaguzi CHADEMA John Mrema amesema Mbowe ambaye ni mbunge wa Hai amepewa ruhusa ya kusafiri na Spika wa bunge mh Ndugai lakini hakimu Simba na mawakili wa serikali wamemzuia kusafiri.
Mrema amesema Zuio hilo la hakimu Simba ni kinyume kabisa na hukumu ya mahakama kuu kuhusu masharti ya dhamana na ni ukandamizwaji wa maksudi wa haki za binadamu.
Source Ayo tv
Maendeleo hayana vyama!
Wanafanya malipizi ya Pompeo wanadhani chadema ndio imemzuia BashiteSi vema kusema hivyo, Kwan waziri mkuu alisema nchi hii haiongozwi kibabe, sasa kakosa nini hadi azuiliwe kwenda U.S.
Kwani yeye ni BASHITE hadi azuiliwe kwenda kule? Waache mambo ya kishamba bhana.
Watu wana mishe zao kule, acha wajichanganye
Unapiga ramli eeh !!