Mbowe azuiliwa na Mahakama kwenda Marekani licha ya kuruhusiwa na Spika Ndugai

Mwenyekiti wa CHADEMA ambaye pia ni mfanyabiashara maarufu mh Freeman Mbowe amezuiliwa na mahakama ya kisutu kwenda nchini Marekani, Uingereza na Uswisi kwenye shughuli zake za kibiashara.

Mkurugenzi wa uchaguzi CHADEMA John Mrema amesema Mbowe ambaye ni mbunge wa Hai amepewa ruhusa ya kusafiri na Spika wa bunge mh Ndugai lakini hakimu Simba na mawakili wa serikali wamemzuia kusafiri.

Mrema amesema Zuio hilo la hakimu Simba ni kinyume kabisa na hukumu ya mahakama kuu kuhusu masharti ya dhamana na ni ukandamizwaji wa maksudi wa haki za binadamu.

Source Ayo tv

Maendeleo hayana vyama!
Aje atutembelee huku Mletele Songea sio lazima aende Marekani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wabunge kabla ya kusafiri huomba ruhusa kwa spika ili wasionekane watoro.

Mbowe anakesi mahakamani,mahakama ina mashariti yake,Imezuia asisafiri,Mbowe mwenyewe anajua hilo

Sasa suala la Spika kuwa mkubwa zaidi ya jaji mkuu halina maana hapa,
Mnajitoa ufahamu
Endeleeni kutetea ujinga na kupotosha,wanasheria hili wanalifahamu vizuri sana,
Spika ni mkubwa kuliko Jaji mkuu bwashee!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenyekiti wa CHADEMA ambaye pia ni mfanyabiashara maarufu mh Freeman Mbowe amezuiliwa na mahakama ya kisutu kwenda nchini Marekani, Uingereza na Uswisi kwenye shughuli zake za kibiashara.

Mkurugenzi wa uchaguzi CHADEMA John Mrema amesema Mbowe ambaye ni mbunge wa Hai amepewa ruhusa ya kusafiri na Spika wa bunge mh Ndugai lakini hakimu Simba na mawakili wa serikali wamemzuia kusafiri.

Mrema amesema Zuio hilo la hakimu Simba ni kinyume kabisa na hukumu ya mahakama kuu kuhusu masharti ya dhamana na ni ukandamizwaji wa maksudi wa haki za binadamu.

Source Ayo tv

Maendeleo hayana vyama!
Tuanze na tume huru ya uchaguzi ili kuikomboa mihimili ya utawala nchini. Kama kura haina maana raia wanageuka kuwa watumwa wa watawala
 
Wabunge kabla ya kusafiri huomba ruhusa kwa spika ili wasionekane watoro.

Mbowe anakesi mahakamani,mahakama ina mashariti yake,Imezuia asisafiri,Mbowe mwenyewe anajua hilo

Sasa suala la Spika kuwa mkubwa zaidi ya jaji mkuu halina maana hapa,
Mnajitoa ufahamu
Endeleeni kutetea ujinga na kupotosha,wanasheria hili wanalifahamu vizuri sana,

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu, ukiwa na kesi mahakamani tena yenye uzito kama ule, kusafiri nje sio rahisi.

Hapa vijana wa Ufipa huwa wanajitoa ufahamu na wengine hawana ufahamu wa lolote ni bendera fuata upepo.
 
KESI ZA KUBA MBIKWA... MAGUFURI ANA ROHO MBAYA SANA, NI MTU MBAYA SANA. ANAONA KUPATA URAIS NDIO MWISHO WA DUNIA
 
Mrema amesema zuio hilo la hakimu Simba ni kinyume kabisa na hukumu ya Mahakama Kuu kuhusu masharti ya dhamana na ni ukandamizwaji wa makusudi wa haki za binadamu.
Mbowe alishawahi kufutiwa dhamana kwa kusafiri bila ya kibali cha mahakama
Sheria ipo wazi kabisa,kwamba mahakama inao uwezo wa kuzuia usisafiri,ikijridhisha kwamba una tatizo la kuruka dhamana
Acheni siasa,mwenyekiti amalize kwanza kesi ndipo apange safari,
 
Back
Top Bottom