Mbowe azuiliwa na Mahakama kwenda Marekani licha ya kuruhusiwa na Spika Ndugai

Aliekuambia kuwa CCcM hutegemea kura kuchukua dola ni nani? Unaishi Tazania kweli?!
Mpelekeni huyo mbwiga Iringa mkaone " wanaume " wa miyomboni watakavyomgombania kama mpira wa kona.

CCM kama haina mgombea anayejiheshimu Iringa mjini ni bora bwashee Msigwa apite bila kupingwa kuliko kuwapelekea wacheza tokomile!
 
Tatizo siku hizi hawana adabu. Wakienda nje wanaenda kudanga kisiasa. Wanatumia vibaya passport. Uliona wapi wanasiasa wa nchi nyingine wakifanya haya mambo ya aibu?
Hizo nchi zingine Viongozi wao hawana mambo ya ovyoovyo kama ya wa hapa kwenu
 
Chadema ni wapumbavu sana ruhusa ya spika hiingilii muhimili wa mahakama ,nyambafu kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimefurahi kusikia mahakama imetenda haki kwa kumzuia freeman Mbowe asisafiri kwenda Marekani. Japo ni kinyume na sheria but no way out.
 
Simuache ukandamizaji wa demokrasia hapa nchini muone Kama wataenda kuongea haya mambo huko ulaya?
Tatizo siku hizi hawana adabu. Wakienda nje wanaenda kudanga kisiasa. Wanatumia vibaya passport. Uliona wapi wanasiasa wa nchi nyingine wakifanya haya mambo ya aibu?
 

Boara yeye kazuiliwa na Mahakama japo halikubalika katika nchi hizo alizozuiliwa kwenda kuliko wanaokubalika na mahakama lakini wamezuiliwa na kukataliwa na nchi wanazotaka kwenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…