WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Aliuza nini kwa Wamoroco.Mbona Magu alishatuuza kwa waarabu wa Morroco kitambo tu na hakukuwa na mba mba mba.. Mbowe kelele nyingi vitendo sufuri akianzisha maandamano atangulie mbele
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliuza nini kwa Wamoroco.Mbona Magu alishatuuza kwa waarabu wa Morroco kitambo tu na hakukuwa na mba mba mba.. Mbowe kelele nyingi vitendo sufuri akianzisha maandamano atangulie mbele
Vita ganiWewe Ni kilaza. Nchi iko vitani na amiri jeshi wa hiyo Fulani kahamua kuuza silaha zote. Unategemea nini?
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
Mkuu upo sawa kabisa Mkichwa potelea mbali sihitaji hekima za kijinga hizo...Acha kujadili tetesi; utaonekana huna hekima. Kesho Bunge linajadili LIVE; sikiliza Bunge; acha kusilkiliza mawazo mufilisi ya kwenye mitandao
Nyi watu mna akili kweli au mmekatwa vichwa...Kwa mantiki hio hauujui mkataba ila maneno ya mbowe yamekufanya uone tumepigwa