..Mbowe na ujumbe wake wamefika mkoani Tanga kufanya shughuli za uenezi wa chama.
..Pamoja na mambo mengine Mbowe amezungumzia hali ngumu ya uchumi mkoani Tanga na nchi nzima na jinsi inavyochangiwa na utawala mbaya wa Ccm.
Mwisho amewataka wananchi wa Tanga kukataa mkoa wao kuwa kama "shamba la bibi" la Ccm.