Ndiyo hapo sasa, sisi tumelalamikia kampuninya Airtel kufungua laini ya Brenda Rupia isipokee michangoHuyo aliyesema Chadema imetengwa ni nani?
Mbowe kujifanya mwanadiplomasia ndiyo kumechelewesha mageuzi ya demokrasia Tanzania. Kujifanya mstaarabu kwa wahuni ni dalili za woga au mtu aliyekuwa compromised.Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, ambaye pia ni mwanafamilia wa marehemu Mzee Edwin Mtei, amejibu hoja mbalimbali zilizoibuliwa mitandaoni zikidai kuwa CHADEMA haijapewa nafasi na hadhi inayostahili katika taratibu za kumuenzi muasisi wa chama hicho kabla ya mazishi yake.
Akizungumza na waandishi wa habari, Mbowe amesema anasikitishwa na taarifa hizo akizitaja kuwa ni za uongo na zenye nia ya kuuchafua msiba huo, huku akisisitiza kuwa hakuna mtu wala kundi lililotengwa katika maandalizi ya mazishi ya marehemu Mzee Mtei.
Mbowe amesema familia inapenda kuona mwili wa marehemu ukipumzishwa kwa amani bila malumbano yoyote, akibainisha kuwa CHADEMA imepewa nafasi kubwa katika taratibu zote kuanzia zoezi la kuuchukua mwili Mochwari hadi shughuli za kumuaga na kumuenzi marehemu.
Ameongeza kuwa watu wengi waliopo msibani hapo ni wanachama na viongozi wa CHADEMA, jambo linalothibitisha kuwa chama hicho kimehusishwa kikamilifu katika kila hatua ya maandalizi ya msiba huo.
“Ninasikitishwa na baadhi ya watu wanaotaka kuuchafua msiba huu kwa kutoa taarifa za uongo. Hakuna aliyebaguliwa wala kutengwa. Kila mtu amepewa nafasi ya kumuenzi Mzee Mtei,” amesema Mbowe.
Mazishi ya Mzee Edwin Mtei yanatarajiwa kufanyika kesho, Jumamosi, katika makaburi ya nyumbani kwake Tengeru, jijini Arusha.
View attachment 3533305
Anaogopa akisema ni msiba wa chadema yule mwenyekiti wa CCM atasusa.Mbowe kujifanya mwanadiplomasia ndiyo kumechelewesha mageuzi ya demokrasia Tanzania. Kujifanya mstaarabu kwa wahuni ni dalili za woga au mtu aliyekuwa compromised.
Nina uhakika Edwin Mtei alikuwa anajivunia CHADEMA kama zao lake kama kazi nyingine yoyote aliyowahi kufanya huko nyuma. Katika msiba wake, CHADEMA haitakiwi kusukumwa pembeni au nyuma na yeye kama ana nia njema anatakiwa awe mstari wa mbele kuhakikisha hilo halitokei.
Ni uvccm wakishirikiana na Bakwata ndiyo wanaoeneza huo uzushiHuyo aliyesema Chadema imetengwa ni nani?
Huyo Mwenyekiti wa CCM kama kweli anamuheshimu Marehemu inatakiwa akubaliane na hali inayoandaliwa na wenyeji na atakayoikuta siyo kulazimisha kutengeneza mazingira ya yeye kuwa comfortable msibani. Siyo lazima kutamka au kutangaza ni msiba wa CHADEMA ila mazingira tu yanatakiwa yaseme kila kitu. Asiyetaka asije.Anaogopa akisema ni msiba wa chadema yule mwenyekiti wa CCM atasusa.
Mbowe yupi compromised ndio maana anakosa misimamo
Hilda Newton ni mwanaCCM?Huyo aliyesema Chadema imetengwa ni nani?
Kwahiyo mbowe anamjibu Hilda?? Hilda akija kusema linginr, atamjibu pia?Hilda Newton ni mwanaCCM?
Tuendelee kuwaelimishaNakala imfikie jamaa mmoja ambaye jana alisema CHADEMA itumie msiba huo kumuomba msamaha Mbowe. Nikamwambia huu ni msiba wa Mtei siyo Mbowe.
Mbowe ni mlaghai hana diplomasia yoyote.Mbowe kujifanya mwanadiplomasia ndiyo kumechelewesha mageuzi ya demokrasia Tanzania. Kujifanya mstaarabu kwa wahuni ni dalili za woga au mtu aliyekuwa compromised.
Nina uhakika Edwin Mtei alikuwa anajivunia CHADEMA kama zao lake kama kazi nyingine yoyote aliyowahi kufanya huko nyuma. Katika msiba wake, CHADEMA haitakiwi kusukumwa pembeni au nyuma na yeye kama ana nia njema anatakiwa awe mstari wa mbele kuhakikisha hilo halitokei.
Mmoja wao ni Hilda Newton ambae alimshutumu Mbowe kwa kupanga njama za kukitenga chama cha Chadema katika msiba huo. Na wengine humu ndani wakaubeba uongo huo na ku amplify.Huyo aliyesema Chadema imetengwa ni nani?
Mambo ya uchaguzi yameingiaje kwenye msiba wa Mtei?Mbowe ni mlaghai hana diplomasia yoyote.
Mbowe ni aina ya wale watu wale ambao ni wachawi. Mbele ya macho ya watu huongea kwa upole, hujifanya wema, hujifanya na busara sana, lakini nyuma ya pazia ni nyoka.
Kuthibitisha nayosema kafatilie jinsi mambo aliyokua akifanya wakati wa chaguzi ndani ya chama. Alikua hataki heche awe mwenyekiti kanda ya Serengeti, akamfanyia hila sana
Akawa hataki pambalu awe mwenyekiti ka da ya Victoria, alikua anamtaka wenje. Kafanya uhuni na ujinga mwingi
Alikua hataki msigwa awe mwenyekiti nyasa, akamfanyia vituko vyote.
Mbowe ni mshenzi kama walivyo watawala
Chadema kwa kweli haitakiwi iwekwe pembeni kwenye msiba huu, ni chama kikubwa chenye heshima zake,na kwa mwasisi wake. Lakini kuna watu wa ovyo ovyo ,waropokaji,wasio na subra kama Heche,hao watengwe tu.Mbowe kujifanya mwanadiplomasia ndiyo kumechelewesha mageuzi ya demokrasia Tanzania. Kujifanya mstaarabu kwa wahuni ni dalili za woga au mtu aliyekuwa compromised.
Nina uhakika Edwin Mtei alikuwa anajivunia CHADEMA kama zao lake kama kazi nyingine yoyote aliyowahi kufanya huko nyuma. Katika msiba wake, CHADEMA haitakiwi kusukumwa pembeni au nyuma na yeye kama ana nia njema anatakiwa awe mstari wa mbele kuhakikisha hilo halitokei.
Wachague watu wa kuwajibu. Sio kujibu kila mtuMmoja wao ni Hilda Newton ambae alimshutumu Mbowe kwa kupanga njama za kukitenga chama cha Chadema katika msiba huo. Na wengine humu ndani wakaubeba uongo huo na ku amplify.
Amandla...