MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Kamwambie mamako.Sio hivyo ndugu usitukane nieleweshe vizuri tu asa kuoa kwa mzee mtei ndo keshakuwa mtoto wake?? How comes kwani yeye ndiye mtu pekee aliyeoa kwa mzee mtei?? Huyo ni mkwe kwa familia ya mzee mtei hapashwi kujiingiza kwenye mambo yao ya ndani,anatakiwa kujiheshimu kama wakwe wengine