Mbowe: CHADEMA haijatengwa tusiuchafue msiba wa Mzee Mtei

Anaogopa akisema ni msiba wa chadema yule mwenyekiti wa CCM atasusa.

Mbowe yupi compromised ndio maana anakosa misimamo
Mtei alikua mtanganyika,mtanzania,gavana wa BOT kabla ya kuanzisha chadema 1992
Msiba wa mtei siyo msiba wa chadema,muwe walau mara moja moja mnatumia hizo brain cells chache mlizonazo kama bado zipo
 
Hata mtakatifu nyerere alikua hivyo,hiyo ndiyo siasa
 
Ndio tatizo la maiti wa kikiristo kuwekwa siku nyingi bila ya kuzikwa. Muislam hata uwe mfalme ukifa asubuhi jioni yake umaenda kuzikwa. Hiari yako tena kama umeikumbatia dunia au uliipa kisogo dunia. Wakiristo siku 4 maiti hajazikwa. Lazima mitafaruku ktk mazishi yatatokea
 
Mbowe atulie kama alivyoamua kuwapa kisogo viongozi wa Chadema na wanachadema

Anajikuta yeye ni nani hapo Chamani?
 
Siasa ndivyo zilivyo,wewe ni mfuasi wa chama fulani, mwanasiasa fulani,na ndani ya vyama watu Wana watu wao pia,zowea
Siasa ndivyo zilivyo hivyo kwa mujibu wa nani? Mm sio mfuasi wa chama chochote. Nakubaliana na kike nachooa kipo sawa, na napinga kile nachoona hakipo sawa

Yaliyo sawa yanaoonekana yanajulikana na yasiyo sawa pia yanajulikana na kuonekano.
 
Duniani kote ndani ya chama kuna chama
 
Kwani huu msiba ni wa familia ya mboe au ya Mzee mtei,mzee mtei ana watoto kwanini wao wasiwe wasemaji ya familia?? Yeye analopokalopoka hapo msibani kama nani!!
 
Mjinga mkubwa ,nipo njiani nakuja lazima nikujabe vibao nikikuona ,umekua mjinga wa karne. Mzee Mtei kafa na utjiri wa pesa ,majumba n.k
Mbowe nitakuzaba vibao may be nisipate upenyo ,pumbavu
 
unachanganya Christianity na mila, haya yanayoendela tanzagiza sehemu kubwa ni mila na siyo
Christianity …
 
Rais Mwinyi alifariki tarehe 29 Februari na alizikwa tarehe 2 Mach. Alikuwa Mkiristo?

Amandla...
 
23 January 2026
Arusha, Tanzania

WATANZANIA WOTE SASA NI CHADEMA

View: https://m.youtube.com/watch?v=EBB6IcctTNkHii imedhihirika leo katika media zote zinazoripoti taarifa sahihi tofauti na media zinazofadhiliwa kutoka ofisi ndogo za chama dola kongwe kisicho chama halisi cha kisiasa.

CHADEMA ni chama kisiasa kinachoishi na kustawi kupitia nguvu ya umma People's Power, tofauti na chama dola kongwe kinachotegemea nguvu ya vyombo.
 
Kwani huu msiba ni wa familia ya mboe au ya Mzee mtei,mzee mtei ana watoto kwanini wao wasiwe wasemaji ya familia?? Yeye analopokalopoka hapo msibani kama nani!!
Wewe mpumbavu Hayati Mtei ni baba mkwe wa Mbowe. Hivyo Mbowe ni kama mwanae. Huo uk♡ma wenu wa ubaguzi msilete kwenye familia za watu.
 
Wewe mpumbavu Hayati Mtei ni baba mkwe wa Mbowe. Hivyo Mbowe ni kama mwanae. Huo uk♡ma wenu wa ubaguzi msilete kwenye familia za watu.
Sio hivyo ndugu usitukane nieleweshe vizuri tu asa kuoa kwa mzee mtei ndo keshakuwa mtoto wake?? How comes kwani yeye ndiye mtu pekee aliyeoa kwa mzee mtei?? Huyo ni mkwe kwa familia ya mzee mtei hapashwi kujiingiza kwenye mambo yao ya ndani,anatakiwa kujiheshimu kama wakwe wengine
 
Kuna watu duniani waliletwa kwaajili ya kukuza mambo yaani hawa enjoy bila kuzua jambo/ taharuki 🚮
 
Wewe kibwengo chuki yako kwa Ukristo imekutoa akili kabisa, mambo ya misiba ya Kikristo inakuhusu nini wewe fala?
 
BAKWATA na UVCCM ndiyo wanaoneza hizi propaganda za Chadema kutengwa ili kuleta mtafaruku.
 
BAKWATA na UVCCM ndiyo wanaoneza hizi propaganda za Chadema kutengwa ili kuleta mtafaruku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…