Mbowe: CHADEMA hatutashiriki Uchaguzi Mkuu wa 2025 (bila Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi)

Ninaposema kuwa wafuasi wa CDM ni misukule ya Mzee Mbowe ninaimanisha hivyo
Lkn mbona ndugu yangu Erythrocyte ni mstaarabu na wala sio msukule wa mzee mbowe.?
Sasa hivi uchaguzi utakuwa huru na wa haki.
Tume ya uchaguzi imeshakuwa huru.
Katiba imeshapatikana.

Mama anatupiga mwingi 2025 tunaingiza team au sio makamanda.
Katiba imepatikana au siyo 😂
 
Ana rekodi nzuri ya kutamka hayo 2005, 2010, 2015 na 2020 na kote walishiriki. Tunajua hizo ni danganya toto!

Sent from my Infinix X678B using JamiiForums mobile app
 
Nafikiri wananchi watafute vyama mbadala kwani hivi vya upinzani kuna kila dalili vimekuwa compromised. Unafikiri usiposhiriki uchaguzi utapata kitu gani?
 
AkitangazaMbowe ujue Ni Chadema tuheshimiane
 
Wakati wa Dikteta Magufuli alyekuwa amefungia maandamano yoyote yale, walishiriki uchaguzi nchi nzima, sasa wakati wa Mama mpenda demokrasia aliyerushu maandamo wakati wowote, wanasusia uchaguzi. Hatari sana
 
Wakati wa Dikteta Magufuli alyekuwa amefungia maandamano yoyte yake, walishiri uchaguzi nchi nzima, sasa wakati wa Mama mpenda demokrasia aliyerushu maandamo wakati wowote, wanasusia uchaguzi. Hatari sana
Ndiyo umshangae Mr ziro ,Dj mbowe
 
Uzuri wa Internet ndio huu
 
Hata mimi ningeshangaa sana kama mheshimiwa Mbowe angeshiriki uchaguzi kwa katiba na tume hii hii iliyopo ambayo ni benchi la ccm
Katiba mpya+tume huru ya uchaguzi ndipo watu washiriki uchaguzi na si vinginevyo.
Mheshimiwa Mbowe ni mtu na nusu
Safi sana Mh Mbowe
 
Wakati wa Dikteta Magufuli alyekuwa amefungia maandamano yoyte yake, walishiri uchaguzi nchi nzima, sasa wakati wa Mama mpenda demokrasia aliyerushu maandamo wakati wowote, wanasusia uchaguzi. Hatari sana
Unasema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…