Mbowe -CHADEMA na Zitto-ACT- mnakwenda kwenye uchaguzi kupata nini?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Mmesema ngombe atachunjwa alvyolala CHADEMA. ACT mnasema mtakwenda hivyo hivyo. mnaona yanayoendelea . Tanzania Daima limefugiwa, watashindwaje kuwapiga mabomu wakamtangaza wanayempenda hata mkikusanyika kwa maelefu, mamilioni! Wafuasi wenu watahimili mabomu? Risasi?

Kama wamediriki kulifuta Tanzania Daima, bila aibu, mjue hakuna kitu kwenye uchaguzi. Watafanya wapendavyo. Hakuna wanayemuogopa maana Bunge hakuna , Mahakama ni maiti , mfu anayelekea kuoza!
 
Mmesema ngombe atachunjwa alvyolala CDM. ACT mnasema mtakwenda hivyo hivyo. mnaona yanayoendelea . Tanzania Daima limefugiwa, watashindwaje kuwapiga mabomu wakamtangaza wanayempenda hata mkikusanyika kwa maelefu, mamilioni! Wafuasi wenu watahimili mabomu? Risasi?

Punguza uoga ccm nimchicha A.K.A mboga.
 
Unaenda kulinda kura za mbunge wa CHADEMA zisiibiwe unapigwa unavunjwa miguu na polisi, uchaguzi unaisha iliyempigania anahamia CCM.

Wajinga ndio waliwao
 
Punguza uoga ccm nimchicha A.K.A mboga.
Mimi ni muumini wa upinzani na wapigania haki wote. I would like to see upinzani shining! But have to tell the truth within my conscience! Hujanijibu hoja zangu, kuna wa kuvumilia mabomu kulinda kura. Leo wamepiga mabomu mkutano wa ndani wa ACT kule Kilwa, wametafutana watu1 na kwenye kura itakuwa hivi hivi. Huyo ngombe atachinjwa kweli?
 
Mmesema ngombe atachunjwa alvyolala CDM. ACT mnasema mtakwenda hivyo hivyo. mnaona yanayoendelea . Tanzania Daima limefugiwa, watashindwaje kuwapiga mabomu wakamtangaza wanayempenda hata mkikusanyika kwa maelefu, mamilioni! Wafuasi wenu watahimili mabomu? Risasi?
Kama wamediriki kulifuta Tanzania Daima, bila aibu, mjue hakuna kitu kwenye uchaguzi. Watafanya wapendavyo. Hakuna wanayemuogopa maana Bunge hakuna , Mahakama ni maiti , mfu anayelekea kuoza!
Kwenye hili nini ushauri wako mkuu?
 
Idd Amin alikuwa anapiga mabomu kijiji akipata habari kuwa kuna wapinzani katika kijiji fulani! Ndiko tunakoelekea!
Ni hatari sana tunapoenda kama hawataki upinzani wafute kabisa tubaki chama kimoja ,tusifanye uchaguzi waendelee kutawala milele na milele hizo fedha za uchaguzi wakajenge barabara za mitaa,wapeleke huduma za jamii mjini na vijiji vyote,kusiwe na bunge sheria za kuendesha nchi ziwe zinatoka kwa MTU FURANI tu basi yeye ndio awe anatunga sheria,maana hata kwasasa haeshimu sheria na katiba yeye anavunja tu it means hakuna haja/umuhimu ya/wa kuwa na bunge la kutunga sheria wala kuisimamia serikali.
 
Mmesema ngombe atachunjwa alvyolala CDM. ACT mnasema mtakwenda hivyo hivyo. mnaona yanayoendelea . Tanzania Daima limefugiwa, watashindwaje kuwapiga mabomu wakamtangaza wanayempenda hata mkikusanyika kwa maelefu, mamilioni! Wafuasi wenu watahimili mabomu? Risasi?
Kama wamediriki kulifuta Tanzania Daima, bila aibu, mjue hakuna kitu kwenye uchaguzi. Watafanya wapendavyo. Hakuna wanayemuogopa maana Bunge hakuna , Mahakama ni maiti , mfu anayelekea kuoza!
Usiwakatishe tamaa pls pls. Kamba hukatika pembamba - kwa sasa sisi ni nyembamba sana kulik unavyofikiria!
 
Kwenye hili nini ushauri wako mkuu?
Ngumu kushauri maana wakisusia they will never care. Pia kuna NCCR vibaraka, watawapa viti kama kumi na CUF viwili, basi wamehalalisha ushiriki wa vyama vya "upinzani". kama ingelikuwa inawezekana kufia kwenye mabomu, that would have been ideal.
 
Usiwakatishe tamaa pls pls. Kamba hukatika pembamba - kwa sasa sisi ni nyembamba sana kulik unavyofikiria!
Siwakatishi tamaa, I am looking at the current trend/situation on the ground!
 
Mimi ni muumini wa upinzani na wapigania haki wote. I would like to see upinzani shining! But have to tell the truth within my conscience! Hujanijibu hoja zangu, kuna wa kuvumilia mabomu kulinda kura. Leo wamepiga mabomu mkutano wa ndani wa ACT kule Kilwa, wametafutana watu1 na kwenye kura itakuwa hivi hivi. Huyo ngombe atachinjwa kweli?

Act is the political party which planted by ccm, you can't compare with main opposition party Chadema which expect to rule the country.

Zitto nikibaraka wa ccm na Mbowe ,ndo maana tunataka kumuweka ,Lissu
 
Wakisusa NCCR, SAU, TADEA, APPT MAENDELDO na ADC wanahalalisha uchaguzi mbele ya jumuiya za kimataifa.

CCM ni genge katili la uhalfu lililo unfrated hapa nchini na Magufuli na dubu chatu katili sana lenye njaa isiyoisha.

Yaliyotokea Serikali Za Mitaa Hayajasahaulika.

Tangu Mwaka 95 Upinzani Wamekuwa Wanapiga Hatua Ndogo Itafika Siku Mambo Yatabadilika Wabmgo Wakikosa Mlo Wa Siku.

Maana Sasa Kila Mtu Anaonaga Mabadiliko Ni Jukumu La Mbowe, Zitto, Maalim Seif Na Lissu
 
.
1592575.jpg
 
Unaenda kulinda kura za mbunge wa CHADEMA zisiibiwe unapigwa unavunjwa miguu na polisi, uchaguzi unaisha iliyempigania anahamia CCM.

Wajinga ndio waliwao
We jamaa umeenda pali sana aiseee. Hivi yule binti yetu wa Kawe yupo?
 
Mnatapatapa mno,Tanzania daima inamuhusu nini Zito aliefukuzwa na Chadema?
 
Back
Top Bottom