denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Nyie watu hoja zenu hata sizielewi; yani unaamanisha kufungiwa Tanzania Daima ndio sababu ya upinzani kushindwa uchaguzi?!
Kwamba kwa mtazamo wako, Tanzania Daima ndio lilikuwa jicho pekee la kuonesha maovu ya serikali ya CCM, kwahiyo sasa polisi wanaweza piga watu risasi watakavyo na mengine....
Are you serious.!!
Get out of that box you are.
Hizi mentallity za uoga na kukata tamaa namna hii ni dhambi hata kwa Mungu.