Mmesema ngombe atachunjwa alvyolala CDM. ACT mnasema mtakwenda hivyo hivyo. mnaona yanayoendelea . Tanzania Daima limefugiwa, watashindwaje kuwapiga mabomu wakamtangaza wanayempenda hata mkikusanyika kwa maelefu, mamilioni! Wafuasi wenu watahimili mabomu? Risasi?
Kama wamediriki kulifuta Tanzania Daima, bila aibu, mjue hakuna kitu kwenye uchaguzi. Watafanya wapendavyo. Hakuna wanayemuogopa maana Bunge hakuna , Mahakama ni maiti , mfu anayelekea kuoza!
Mimi ni muumini wa upinzani na wapigania haki wote. I would like to see upinzani shining! But have to tell the truth within my conscience! Hujanijibu hoja zangu, kuna wa kuvumilia mabomu kulinda kura. Leo wamepiga mabomu mkutano wa ndani wa ACT kule Kilwa, wametafutana watu1 na kwenye kura itakuwa hivi hivi. Huyo ngombe atachinjwa kweli?Punguza uoga ccm nimchicha A.K.A mboga.
Hapana, they need to do more! even at international level ????Nini kifanyike? Waache nchi iwe ya chama kimoja?
Idd Amin alikuwa anapiga mabomu kijiji akipata habari kuwa kuna wapinzani katika kijiji fulani! Ndiko tunakoelekea!MTU FURANI anaendesha NCHI kwa MKONO WA CHUMA.
Kwenye hili nini ushauri wako mkuu?Mmesema ngombe atachunjwa alvyolala CDM. ACT mnasema mtakwenda hivyo hivyo. mnaona yanayoendelea . Tanzania Daima limefugiwa, watashindwaje kuwapiga mabomu wakamtangaza wanayempenda hata mkikusanyika kwa maelefu, mamilioni! Wafuasi wenu watahimili mabomu? Risasi?
Kama wamediriki kulifuta Tanzania Daima, bila aibu, mjue hakuna kitu kwenye uchaguzi. Watafanya wapendavyo. Hakuna wanayemuogopa maana Bunge hakuna , Mahakama ni maiti , mfu anayelekea kuoza!
Ni hatari sana tunapoenda kama hawataki upinzani wafute kabisa tubaki chama kimoja ,tusifanye uchaguzi waendelee kutawala milele na milele hizo fedha za uchaguzi wakajenge barabara za mitaa,wapeleke huduma za jamii mjini na vijiji vyote,kusiwe na bunge sheria za kuendesha nchi ziwe zinatoka kwa MTU FURANI tu basi yeye ndio awe anatunga sheria,maana hata kwasasa haeshimu sheria na katiba yeye anavunja tu it means hakuna haja/umuhimu ya/wa kuwa na bunge la kutunga sheria wala kuisimamia serikali.Idd Amin alikuwa anapiga mabomu kijiji akipata habari kuwa kuna wapinzani katika kijiji fulani! Ndiko tunakoelekea!
Usiwakatishe tamaa pls pls. Kamba hukatika pembamba - kwa sasa sisi ni nyembamba sana kulik unavyofikiria!Mmesema ngombe atachunjwa alvyolala CDM. ACT mnasema mtakwenda hivyo hivyo. mnaona yanayoendelea . Tanzania Daima limefugiwa, watashindwaje kuwapiga mabomu wakamtangaza wanayempenda hata mkikusanyika kwa maelefu, mamilioni! Wafuasi wenu watahimili mabomu? Risasi?
Kama wamediriki kulifuta Tanzania Daima, bila aibu, mjue hakuna kitu kwenye uchaguzi. Watafanya wapendavyo. Hakuna wanayemuogopa maana Bunge hakuna , Mahakama ni maiti , mfu anayelekea kuoza!
Ngumu kushauri maana wakisusia they will never care. Pia kuna NCCR vibaraka, watawapa viti kama kumi na CUF viwili, basi wamehalalisha ushiriki wa vyama vya "upinzani". kama ingelikuwa inawezekana kufia kwenye mabomu, that would have been ideal.Kwenye hili nini ushauri wako mkuu?
Siwakatishi tamaa, I am looking at the current trend/situation on the ground!Usiwakatishe tamaa pls pls. Kamba hukatika pembamba - kwa sasa sisi ni nyembamba sana kulik unavyofikiria!
Mimi ni muumini wa upinzani na wapigania haki wote. I would like to see upinzani shining! But have to tell the truth within my conscience! Hujanijibu hoja zangu, kuna wa kuvumilia mabomu kulinda kura. Leo wamepiga mabomu mkutano wa ndani wa ACT kule Kilwa, wametafutana watu1 na kwenye kura itakuwa hivi hivi. Huyo ngombe atachinjwa kweli?
We jamaa umeenda pali sana aiseee. Hivi yule binti yetu wa Kawe yupo?Unaenda kulinda kura za mbunge wa CHADEMA zisiibiwe unapigwa unavunjwa miguu na polisi, uchaguzi unaisha iliyempigania anahamia CCM.
Wajinga ndio waliwao