Basi kama thinking yako imeishia hapa basiMnatapatapa mno,Tanzania daima inamuhusu nini Zito aliefukuzwa na Chadema?
Basi kama thinking yako imeishia hapa basi, you cannot make sense out of what is happening around! and relate it /connect it to the coming events!Nyie watu hoja zenu hata sizielewi; yani unaamanisha kufungiwa Tanzania Daima ndio sababu ya upinzani kushindwa uchaguzi?!
Kwamba kwa mtazamo wako, Tanzania Daima ndio lilikuwa jicho pekee la kuonesha maovu ya serikali ya CCM, kwahiyo sasa polisi wanaweza piga watu risasi watakavyo na mengine....
Are you serious.!!
Get out of that box you are.
Hizi mentallity za uoga na kukata tamaa namna hii ni dhambi hata kwa Mungu.
Beberu la kiafrika!Aisee
Unaenda kulinda kura za mbunge wa CHADEMA zisiibiwe unapigwa unavunjwa miguu na polisi, uchaguzi unaisha iliyempigania anahamia CCM.
Wajinga ndio waliwao
Mimi siwajui hao wanaopiga watu , ila ukitaka kuwajua wewe siku ya uchaguzi nenda kalinde kura,Unataka kusema kuwa hawa wanaopigwa na kuumizwa ni polisi wanafanya hivyo?
TUKO PAMOJAWatanzania tuisikilize na kuifuata sauti iliayo nyikani ya baba Askofu Bagonza.
tukutane @BagonzaWhite77
View attachment 1487080
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaenda kulinda kura za mbunge wa CHADEMA zisiibiwe unapigwa unavunjwa miguu na polisi, uchaguzi unaisha iliyempigania anahamia CCM.
Wajinga ndio waliwao
Mimi siwajui hao wanaopiga watu , ila ukitaka kuwajua wewe siku ya uchaguzi nenda kalinde kura,
Then usisahau kutuletea mrejesho.
Unakataa kauli yako? Au hukujua unaandika nini?Mimi siwajui hao wanaopiga watu , ila ukitaka kuwajua wewe siku ya uchaguzi nenda kalinde kura,
Then usisahau kutuletea mrejesho.
Tupo kwenye kipindi cha udikteta lakini msikate tamaa tuendelee kupambana manake nikiwaangalia akina Idd Amin, Mobutu, Ghaddafi, Hosni Mubarak, Saadam Hussein na wengine naona mwisho wa mtu yule utakuwaje...Mmesema ngombe atachunjwa alvyolala CHADEMA. ACT mnasema mtakwenda hivyo hivyo. mnaona yanayoendelea . Tanzania Daima limefugiwa, watashindwaje kuwapiga mabomu wakamtangaza wanayempenda hata mkikusanyika kwa maelefu, mamilioni! Wafuasi wenu watahimili mabomu? Risasi?
Kama wamediriki kulifuta Tanzania Daima, bila aibu, mjue hakuna kitu kwenye uchaguzi. Watafanya wapendavyo. Hakuna wanayemuogopa maana Bunge hakuna , Mahakama ni maiti , mfu anayelekea kuoza!
Talk of reality on the ground. Jana Zito and team wamekamatwa, was there any resistance? Nilitegemea watu pale kama kumi au zaidi wafe, then dunia ishutuke, iingilie kati.... wamekamatwa no resistance at all, na ndiyo hivyo itakavyotokea wakati wa kupiga/kuhesabu kura..halafu unakwenda kwenye uchaguzi kufanya nini?Nyie watu hoja zenu hata sizielewi; yani unaamanisha kufungiwa Tanzania Daima ndio sababu ya upinzani kushindwa uchaguzi?!
Kwamba kwa mtazamo wako, Tanzania Daima ndio lilikuwa jicho pekee la kuonesha maovu ya serikali ya CCM, kwahiyo sasa polisi wanaweza piga watu risasi watakavyo na mengine....
Are you serious.!!
Get out of that box you are.
Hizi mentallity za uoga na kukata tamaa namna hii ni dhambi hata kwa Mungu.
Unashauri wasishiriki uchaguzi kabisa?Mmesema ngombe atachunjwa alvyolala CHADEMA. ACT mnasema mtakwenda hivyo hivyo. mnaona yanayoendelea . Tanzania Daima limefugiwa, watashindwaje kuwapiga mabomu wakamtangaza wanayempenda hata mkikusanyika kwa maelefu, mamilioni! Wafuasi wenu watahimili mabomu? Risasi?
Kama wamediriki kulifuta Tanzania Daima, bila aibu, mjue hakuna kitu kwenye uchaguzi. Watafanya wapendavyo. Hakuna wanayemuogopa maana Bunge hakuna , Mahakama ni maiti , mfu anayelekea kuoza!
WASHIRIKI LKN WASEME WATAZUIAJE KUIBIWA.... HATA KAMA KUFA, NI SULUHISHO BORA LKN SIYO KULALAMA MAANA DICTATORS NEVER HEED TO WORDSUnashauri wasishiriki uchaguzi kabisa?