technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Nayasema haya kwa uchungu mkubwa
Damu za Watanzania zilizomwagika kuanzia
Chacha wangwe, Mwangosi, Akwilina, Ben Saanane, Alphonce Mawazo, Ali Kibao, risasi alizopigwa na kuumizwa Tundu Lissu huku ukijua kabisa Chadema sio chama Cha upinzani nakuhakikishia you will pay.
Kuharibu maisha ya watu wakati wewe haujawai kuguswa hata na unyayo wa fimbo
Kukitumia chama kujinufaisha hakika nakwambia damu ni nzito kuliko maji!!
Uongo unaweza kuchelewa lakini una mwisho Leo ndio nakwambia damu zilizomwagika utalipia.
Samahani Sana kwa Zitto Kabwe, Slaa, Nasari, Kafulila na wengine ambao uliona huu upumbavu wa CHADEMA na mkaondoka.
Pole ndugu wa marehemu wote waliotangulia sababu ya hiki chama
Pole Sana mama Tanzania