Mbowe, Damu za Watanzania zilizomwagika miaka 20 hazitakuacha salama

Nashawishika kusema huyu Mbowe ndiyo aliyemuua Chacha Wangwe Alfonce Mawazo na akamteka Ben Sa8, pengine aliwaona ni wasaliti.
 
Wewe ulikuwa umejipanga kwa lipi ndugu?
 
Pole kwa maumivu kwani Mbowe kafanya nini yeye katangaza tu atagombea kwani shida iko wapi, bado nafasi ipo mfanyie kampeni mgombea wako ashinde.
 
DIVIDE & RULE! hakika kwenye hili chama tawala kimeupiga mwingi
 
Kuna watu wengi sana Wamekufa nchi hii kwa sababu ya hicho chama.
Unayakumbuka yaliyotokea Morogoro kwenye maandamano ya Chadema? Maandamano ya Arusha na Songea?
Kuna watu wengi wamemwaga damu zao wakikitetea chama. Leo anakuja jamaa anakuambia amekijenga chama kwa damu, damu gani aliwahi kumwaga kwa sababu ya Chadema?

O
 
Kwanini kuendelea kumlaumu Mbowe? Kama Lissu ana uwezo wa kuwa Mwenyekiti nae si aanzishe chama chake akae muhula mmoja aondoke. Kung'ang'ania vya wengine vya nini? Yeye si aliletwa na Mbowe Chadema? Leo kawa mkubwa kuliko aliyemleta? Ujinga Gani huu?
 
Rasmi Mbowe nimemfuta siyo mpinzani ni mamluki wa CCM
 
Hakuna kitu ni ujinga watu wengi wamechukizwa chama kinaenda kuwa TLP ilichangamka
 
Nani atasimamia hizo kura? rushwa aliyotembeza Abduli siyo ya kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…