Mbowe hadi anastaafu ameshindwa kutetea Nafasi 19 za Ubunge wa BAWACHA na kuwaacha COVID 19 wakilipwa mabilioni ya shilingi kinyemela!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Huu Ndio udhaifu mkubwa aliouonyesha Freeman Mbowe kama Mwenyekiti Mtendaji wa Chadema

Zile Nafasi zilikuwa ni za Chama na siyo za akina Halima James Mdee na wenzake 18 kama individuals

Huu Ufisadi utawatafuna Mbowe na Mnyika Milele yote

Ni hayo tu 🐼
 
Upuuzi, Kama ni swala la Mabilioni Ccm nao wanalipwa for nothing, Wacha wazile tu, wakikosa wao, wewe hupati!
 
Huu Ndio udhaifu mkubwa aliouonyesha Freeman Mbowe kama Mwenyekiti Mtendaji wa Chadema

Zile Nafasi zilikuwa ni za Chama na siyo za akina Halima James Mdee na wenzake 18 kama individuals

Huu Ufisadi utawatafuna Mbowe na Mnyika Milele yote

Ni hayo tu 🐼
wamepata ubunge lakini mbowe na mnyika wamewafaidi sana walikuwa wanapokezana kuwala kwa miaka mitano
 
Kwani wanalipwa na Mbowe au Chadema? Kama spika ameamua kulipa watu kiholela na serikali inaunga mkono Chadema ifanye nini?
 
Huu Ndio udhaifu mkubwa aliouonyesha Freeman Mbowe kama Mwenyekiti Mtendaji wa Chadema

Zile Nafasi zilikuwa ni za Chama na siyo za akina Halima James Mdee na wenzake 18 kama individuals

Huu Ufisadi utawatafuna Mbowe na Mnyika Milele yote

Ni hayo tu 🐼

Ameshafanya yote ambayo alitakiwa kufanya

Mlitaka Mzee wa watu afanye kitu gani cha zaidi ?

Aende kuwazuia wasiiingie bungeni?
 
wamepata ubunge lakini mbowe na mnyika wamewafaidi sana walikuwa wanapokezana kuwala kwa miaka mitano

Huu sasa ni Wivu
Wale ni wanaume na wanawake so shida Iko wapi?
 
Back
Top Bottom