Mbowe haoneshi dalili ya kung'atuka licha ya kuwa mwenyekiti kwa miaka mingi CHADEMA

Acha upumbavu mkuu, Mr. Mbowe family ina pesa nyingi hata kabla babu yako hajazaliwa,pesa sio tatizo kwenye family hii, kajitolea mhanga kutetea umma wa watanzania waliojawa uoga wa kizuzu kama wewe mtoa hoja
Acha upuuzi. Hakuna mfanyabiashara anaweza kujitoa mhanga kwa kupoteza vitu vyake kutetea mtu. Biashara ya siasa inamlipa Mbowe kuliko hizo biashara za familia yao.
 
Vpi mbona HANGAYA nyie na fomu mmeshamchangia kabisa mbuzi nyie
 
Mimi naona bado Mbowe ni kiongozi sahihi wa chama chake kinachojifia. CHADEMA hakuna mwenye akili timamu ya kuongoza CHADEMA kwenye huu mwisho wa uhai wake.
 
Chama cha Familia, munajuwa Bali mu wabishi.. mtajiju.. 😅😅😅

Weka na kideo kabisaa.. tumuwone akiyatamka..


Kazi iendelee...
 
Unataka Hawara yako awe mwenyekiti? MBOWE YUPO SANA CHADEMA
 
Unaongea anti clockwise kabsaaaa! Mbowe ndio upinzani na upinzani ni Mbowe. Ustake kuturudisha 1995 wewe!
 
Kuna dalili yeyote ccm kuachia madaraka? Mbowe amepewa kazi na chadema kuhakikisha inaing oa ccm
 
🤣🤣Ingekuwa hivyo Nyerere angefia madarakani
Don't justfy udikteta uchwara na wizii wa Mali za chama na ruzuku
Angefia madarakani ndiyo. Unadhani aliachia madaraka kwasababu alipenda? Alishindwa kuyala matapishi yake.

Inaonekana hujui hata maana ya udikteta.
 
Ang'atuke aende wapi? Hiyo ni biashara ya familia wengine kama kina Heche, Msigwa, Mnyika ni wasindiiizaji tu.

Kataeni kutumika kama ngazi ya kumtajirisha Mbowe
 
Kwani wewe inakuuma nini?
Chama chako wanasemaje kuhusu fomu moja kwa raisi?
CDM kuna demokrasia kuliko ccm i swear!
 
Kila kitu kina mwisho. Umepata raha na umepata taabu kwenye nafasi yako ya kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA tangu mwaka 2024. Umekipigania CHAMA vya kutosha sasa sema basi IMETOSHA na umwachie kijiti mwenzako atakayependekezwa na Chama. Usiache CHAMA kifie mikononi mwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…