dindilichuma
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 1,736
- 2,699
Hakuna hiyo Sheria kama nchi ila CCM wao wanataka mgombea wao walau awe na Shahada ya Kwanza.Daah! Bongo buana, ni waona mbaaali Sana aisee, mkuu, Umeona mbaali mno Kaka, na hii ndiyo kweli, maana hata Kwa akiri ya kawaida, Kwa mjibu wa Elimu ya Mzee, haruhusiwi Kwa sasa kugombea Uraisi, kama sikosei, mtu anayeruhusiwa ni mtu mwenye digre angalau, sasa mwenzetu hana hiyo sifa
Vyama vingine havilazimishwi hilo kwasababu sio takwa la kikatiba.