Daah! Bongo buana, ni waona mbaaali Sana aisee, mkuu, Umeona mbaali mno Kaka, na hii ndiyo kweli, maana hata Kwa akiri ya kawaida, Kwa mjibu wa Elimu ya Mzee, haruhusiwi Kwa sasa kugombea Uraisi, kama sikosei, mtu anayeruhusiwa ni mtu mwenye digre angalau, sasa mwenzetu hana hiyo sifa