G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,795
- 36,704
Mwenyekiti utaharibu, wewe tayari umeshakuwa team Samia tunaomba upumzike ili ulinde heshima yako. Mbona unajionyesha wazi kuwa ulishalamba asali?
Unafanya mahojiano masaa manne huongelei kabisa madhila tuliyopata, huongelei kabisa utaipeleka wapi CHADEMA ukichaguliwa badala yake unaongea tu mahistoria.
Kwamba ukichaguliwa utakuwa unahadithia hayo mahistoria yako kwa kipindi chote cha uongozi?
Eti tusibadilishe general wakati wa vita? Kama tunazidiwa vita tuendelee kukumbatia general aliyejichokea? Ili tuendelee kupigwa?
Sisi tunaona kabisa tunazidiwa vita na wewe General ni moja ya chanzo cha kuzidiwa! Kwamba huoni? Kwanini unang'ang'ania?
Huoni kila mwenye mapenzi mema na CHADEMA anakupinga? Leo utakuwa na tofauti gani na Lipumba? Si huwa anachaguliwa mpaka juzi? CUF yake iko wapi? Huoni kuwa ukiendelea kung'ang'ania unapoteza kundi kubwa la watu wanaohitaji mabadiliko?
Tunaenda kwenye box hatutakuchagua na ukitumia mbinu chafu tutakukabili na zaidi uking'ang'ania basi utafanya kazi na hao machawa wako. Tatizo linaonekana wazi ila unashupaa! Haya endelea kusifia utawala wa Samia. Endelea kutoa mikakati!