BonventureSr
JF-Expert Member
- Nov 16, 2023
- 879
- 1,432
Eti mkuu,bora zito anajificha jificha kidogoYaani hata Zitto ana afadhali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti mkuu,bora zito anajificha jificha kidogoYaani hata Zitto ana afadhali.
Nyooo .kibaraka wa CCM yuleKwenda zako hukooo
Na wewe ruka ruka sasa
Mlimuacha mwenyewe siku ile ya maandamano nyie mnagegedana mageton pumbavu kabsaa
🤣 🤣 🤣Ila Mwamba kazingua,katoka jela kafakamia bakuli la asali.
LIONDONE CHADEMA TUMELICHOKA,limeshapewa Hela Hilo masikio yamekufa ganzi halielewiMwenyekiti utaharibu, wewe tayari umeshakuwa team Samia tunaomba upumzike ili ulinde heshima yako. Mbona unajionyesha wazi kuwa ulishalamba asali?
Unafanya mahojiano masaa manne huongelei kabisa madhila tuliyopata, huongelei kabisa utaipeleka wapi CHADEMA ukichaguliwa badala yake unaongea tu mahistoria.
Kwamba ukichaguliwa utakuwa unahadithia hayo mahistoria yako kwa kipindi chote cha uongozi?
Eti tusibadilishe general wakati wa vita? Kama tunazidiwa vita tuendelee kukumbatia general aliyejichokea? Ili tuendelee kupigwa?
Sisi tunaona kabisa tunazidiwa vita na wewe General ni moja ya chanzo cha kuzidiwa! Kwamba huoni? Kwanini unang'ang'ania?
Huoni kila mwenye mapenzi mema na CHADEMA anakupinga? Leo utakuwa na tofauti gani na Lipumba? Si huwa anachaguliwa mpaka juzi? CUF yake iko wapi? Huoni kuwa ukiendelea kung'ang'ania unapoteza kundi kubwa la watu wanaohitaji mabadiliko?
Tunaenda kwenye box hatutakuchagua na ukitumia mbinu chafu tutakukabili na zaidi uking'ang'ania basi utafanya kazi na hao machawa wako. Tatizo linaonekana wazi ila unashupaa! Haya endelea kusifia utawala wa Samia. Endelea kutoa mikakati!
Chadema ya Mbowe masimango na Dalali wenje inaenda kuwa kama NCCR TLP na CUF ya LipumbaSisi tunajua humo ndani kinachoendelea. Huyu Mbowe anagawa rushwa ananunua watu anatoa vitisho kupitia machawa wake. Watabaki na hicho chama na tutawapinga hadharani. Utulivu hautokuwepo kabisa.
Chadema ni Duka la Mbowe😂 😂 Wachaga hawawezi kukubali kuachia saccos yao
Mkuu maua yako💐💐💐Ila Mwamba kazingua,katoka jela kafakamia bakuli la asali.
Weka hapa namba yako ya Chadema na imelipiwa mpaka 2025, kisha weka uhalali wa kikao kilichoamua kumuondoa kwenye uchaguzi.Mwenyekiti utaharibu, wewe tayari umeshakuwa team Samia tunaomba upumzike ili ulinde heshima yako. Mbona unajionyesha wazi kuwa ulishalamba asali?
Unafanya mahojiano masaa manne huongelei kabisa madhila tuliyopata, huongelei kabisa utaipeleka wapi CHADEMA ukichaguliwa badala yake unaongea tu mahistoria.
Kwamba ukichaguliwa utakuwa unahadithia hayo mahistoria yako kwa kipindi chote cha uongozi?
Eti tusibadilishe general wakati wa vita? Kama tunazidiwa vita tuendelee kukumbatia general aliyejichokea? Ili tuendelee kupigwa?
Sisi tunaona kabisa tunazidiwa vita na wewe General ni moja ya chanzo cha kuzidiwa! Kwamba huoni? Kwanini unang'ang'ania?
Huoni kila mwenye mapenzi mema na CHADEMA anakupinga? Leo utakuwa na tofauti gani na Lipumba? Si huwa anachaguliwa mpaka juzi? CUF yake iko wapi? Huoni kuwa ukiendelea kung'ang'ania unapoteza kundi kubwa la watu wanaohitaji mabadiliko?
Tunaenda kwenye box hatutakuchagua na ukitumia mbinu chafu tutakukabili na zaidi uking'ang'ania basi utafanya kazi na hao machawa wako. Tatizo linaonekana wazi ila unashupaa! Haya endelea kusifia utawala wa Samia. Endelea kutoa mikakati!
We ni mwehu kama lisu.Mwenyekiti utaharibu, wewe tayari umeshakuwa team Samia tunaomba upumzike ili ulinde heshima yako. Mbona unajionyesha wazi kuwa ulishalamba asali?
Unafanya mahojiano masaa manne huongelei kabisa madhila tuliyopata, huongelei kabisa utaipeleka wapi CHADEMA ukichaguliwa badala yake unaongea tu mahistoria.
Kwamba ukichaguliwa utakuwa unahadithia hayo mahistoria yako kwa kipindi chote cha uongozi?
Eti tusibadilishe general wakati wa vita? Kama tunazidiwa vita tuendelee kukumbatia general aliyejichokea? Ili tuendelee kupigwa?
Sisi tunaona kabisa tunazidiwa vita na wewe General ni moja ya chanzo cha kuzidiwa! Kwamba huoni? Kwanini unang'ang'ania?
Huoni kila mwenye mapenzi mema na CHADEMA anakupinga? Leo utakuwa na tofauti gani na Lipumba? Si huwa anachaguliwa mpaka juzi? CUF yake iko wapi? Huoni kuwa ukiendelea kung'ang'ania unapoteza kundi kubwa la watu wanaohitaji mabadiliko?
Tunaenda kwenye box hatutakuchagua na ukitumia mbinu chafu tutakukabili na zaidi uking'ang'ania basi utafanya kazi na hao machawa wako. Tatizo linaonekana wazi ila unashupaa! Haya endelea kusifia utawala wa Samia. Endelea kutoa mikakati!
Kichwa kubwa, akili kiduchu.wakunja ngumi hamumtaki mbowe ila ndiye Mwenyekiti wa kudumu hapo CDM, yaani hata mkaombe msaada kutoka marekan hamuwez kumtoa huyo mwamba... Nyie CDM wapuuzi sana yaani mnataka chama apewe Lisu.
Hakuna kitu chama dume wanangojea kwa hamu na furaha siku ambayo mbowe atakufa. Maana hiyo ndio itakuwa mwisho wa CDM kuendelea kutamba...
Na hizi kelele za mitandaoni kumtukana mbowe ni ishara kwamba Lisu hawez kumshinda mbowe kwa kura...
Kidumu chama tawala... 2025 MITANO TENA... KAZI IENDELEEE...
...Mbowe kaamua kusambaratisha taasisi yake kwa mkono wake mwenyewe...Mwenyekiti utaharibu, wewe tayari umeshakuwa team Samia tunaomba upumzike ili ulinde heshima yako. Mbona unajionyesha wazi kuwa ulishalamba asali?
Unafanya mahojiano masaa manne huongelei kabisa madhila tuliyopata, huongelei kabisa utaipeleka wapi CHADEMA ukichaguliwa badala yake unaongea tu mahistoria.
Kwamba ukichaguliwa utakuwa unahadithia hayo mahistoria yako kwa kipindi chote cha uongozi?
Eti tusibadilishe general wakati wa vita? Kama tunazidiwa vita tuendelee kukumbatia general aliyejichokea? Ili tuendelee kupigwa?
Sisi tunaona kabisa tunazidiwa vita na wewe General ni moja ya chanzo cha kuzidiwa! Kwamba huoni? Kwanini unang'ang'ania?
Huoni kila mwenye mapenzi mema na CHADEMA anakupinga? Leo utakuwa na tofauti gani na Lipumba? Si huwa anachaguliwa mpaka juzi? CUF yake iko wapi? Huoni kuwa ukiendelea kung'ang'ania unapoteza kundi kubwa la watu wanaohitaji mabadiliko?
Tunaenda kwenye box hatutakuchagua na ukitumia mbinu chafu tutakukabili na zaidi uking'ang'ania basi utafanya kazi na hao machawa wako. Tatizo linaonekana wazi ila unashupaa! Haya endelea kusifia utawala wa Samia. Endelea kutoa mikakati!
Haahaa we ni mwehu kama nani? Kwa nn hamuwezi Jenga hoja bila kudhalilisha na kutukana wengine?We ni mwehu kama lisu.
Mbowe aliombwa ahojiwe.
Alikuwa anajibu maswali aliyoulizwa atatokaje nje ya mada iliyompeleka pale, na hyo nafasi angeipataje maana alibanwa na maswali.
Wehu bana pfyuuuuuu
Hakuna watu wanafanya maisha ya ccm kuwa marahisi kama nyie makamanda wa chakademusIla Mwamba kazingua,katoka jela kafakamia bakuli la asali.
Safi sana huo ndio msimamo wa watu wanaojitambua.Mimi ni mpiga kura na nitamchinja. Ikitokea ameshinda kwa bahati mbaya tunapishana mlangoni namuachia Chadema yake akae na machawa wake awahadithie historia yake vizuri. Kuongozwa na mlamba asali ni kitu nilikataa kwa dhati kabisa ya moyo wangu.
Muondoeni kidemokrasia hizi kelele zingine hazina msaada.Mwenyekiti utaharibu, wewe tayari umeshakuwa team Samia tunaomba upumzike ili ulinde heshima yako. Mbona unajionyesha wazi kuwa ulishalamba asali?
Unafanya mahojiano masaa manne huongelei kabisa madhila tuliyopata, huongelei kabisa utaipeleka wapi CHADEMA ukichaguliwa badala yake unaongea tu mahistoria.
Kwamba ukichaguliwa utakuwa unahadithia hayo mahistoria yako kwa kipindi chote cha uongozi?
Eti tusibadilishe general wakati wa vita? Kama tunazidiwa vita tuendelee kukumbatia general aliyejichokea? Ili tuendelee kupigwa?
Sisi tunaona kabisa tunazidiwa vita na wewe General ni moja ya chanzo cha kuzidiwa! Kwamba huoni? Kwanini unang'ang'ania?
Huoni kila mwenye mapenzi mema na CHADEMA anakupinga? Leo utakuwa na tofauti gani na Lipumba? Si huwa anachaguliwa mpaka juzi? CUF yake iko wapi? Huoni kuwa ukiendelea kung'ang'ania unapoteza kundi kubwa la watu wanaohitaji mabadiliko?
Tunaenda kwenye box hatutakuchagua na ukitumia mbinu chafu tutakukabili na zaidi uking'ang'ania basi utafanya kazi na hao machawa wako. Tatizo linaonekana wazi ila unashupaa! Haya endelea kusifia utawala wa Samia. Endelea kutoa mikakati!
Timu Lisu ndipo hapo wanashangaza wasubiri sanduku la kuraSi mkapige kura mumkatae basi. Yeye kagombea na wengine pia wamegombea, nongwa ya nini?