Mbowe hatukutaki tena hilo elewa. Ni ajabu unafanya mahojiano masaa manne hukosoi kabisa utawala wa Samia badala yake unausifia! Madhara ya asali hayo

Ulichokiandika hata wewe mwenyewe ukisoma hutaelewa.

Hao ndiyo chawa wenyewe sasa, wakina Ng'ongo na kina Bam's !

Walipo sasa, mashimoni:

IMG_20211016_132442_593.jpg
 
Back
Top Bottom