Shibuda atashiriki, maana tayari kajifia na kaamua kuwa CCM nje ya CCMNimemsikia muheshimiwa Mbowe akirudia msimamo wa Chadema kutoshiriki chaguzi.
Lakini kama ACT, NCCR na vyama vingine vya upinzania vikiendelea kushiriki na kusaidiwa kushinda.Na hatimaye kuwa na wabunge wao wakuchaguliwa bungeni.
Hii haitachangia kuidhoofisha na kuisambaratisha Chadema?
Kutoshiriki uchaguzi ni mzuri kama vyama vyote vya upinzani vitakubaliana l!
"Tusahau Katiba mpya kwa sasa "Hivi ndio vipaumbele.
1. Tume huru ya uchaguzi
2. Katiba mpya
Ndio atashiriki uchaguzi na mataga wenzake"Tusahau Katiba mpya kwa sasa "
Samia
Hata hiyo tume hawezi kuivuruga kama anampango wa kugombea 2025
Tume huru nadhani ndiyo kiwe kipaumbele lakini katiba kwa wale wabunge wa CCM pale bungeni ni mtihani.Hivi ndio vipaumbele.
1. Tume huru ya uchaguzi
2. Katiba mpya
Ila nina wasiwasi kama mbowe atayaishi hayo maneno yake mpaka mwisho, siwaamini sana politishaniNdio atashiriki uchaguzi na mataga wenzake
Kwa akili yako Mbowe anaweza kuitoa chadema kutoshiriki uchaguzi?Kutoshiriki Uchafuzi mboma ni jambo la maana
Kauli ni tamko la Mbowe au la Chama?Ila nina wasiwasi kama mbowe atayaishi hayo maneno yake mpaka mwisho, siwaamini sana politishani
Ndio maana imewekwa mwanzoTume huru nadhani ndiyo kiwe kipaumbele lakini katiba kwa wale wabunge wa CCM pale bungeni ni mtihani.
Kwenye kususa tujifunze kwa CUF ya Seif.Kutoshiriki Uchafuzi mboma ni jambo la maana
Ni hatua nzuri lakini inaweza kuwa na nguvu na kufanikiwa kama vyama vyote vya upinzani ndio utakuwa msimamo wao.Hivi ndio vipaumbele.
1. Tume huru ya uchaguzi
2. Katiba mpya
Sijajua alipokuwa akiongea alitumwa na kamati kuu au nikama Stive Nyerere tu anavyoweza kuita waandishi wa habari na kutoa maoni yake kuhusu bongo movieKauli ni tamko la Mbowe au la Chama?
Mbowe akiamua hakuna wa kupinga pale chademaKauli ni tamko la Mbowe au la Chama?
Du! Hata weweBetter late than never but never late is better!
Nakubaliana na Mbowe.
Hakuna kushiriki chaguzi za kipuuzi mpaka kieleweke.