Unamaanisha mlafi wa nyama.Shibuda atashiriki, maana tayari kajifia na kaamua kuwa CCM nje ya CCM

ungekuwa profitable wewe kenge usingekua unambwata huko lumumbaHahahhaa.... Si wamesema matatizo yote kaondoka nayo Magufuli na sasa wako huru? Wanaogopa nini sasa?
Kwani hawa wanaoshangilia humu siyo bavicha?
Kisipoeleweka mtafanyaje? Kwani sasa hivi kinaeleweka? Si mfanye sasa hivi hicho mnachofikiri mtakifanya ili cha moto mkipate.Better late than never but never late is better!
Nakubaliana na Mbowe.
Hakuna kushiriki chaguzi za kipuuzi mpaka kieleweke.
Hivi ndio vipaumbele.
1. Tume huru ya uchaguzi
2. Katiba mpya
Chadema washiriki au wasishiriki uchaguzi bado wataendelea kubaki juu daimaNimemsikia muheshimiwa Mbowe akirudia msimamo wa Chadema kutoshiriki chaguzi.
Lakini kama ACT, NCCR na vyama vingine vya upinzania vikiendelea kushiriki na kusaidiwa kushinda. Na hatimaye kuwa na wabunge wao wakuchaguliwa bungeni.
Hii haitachangia kuidhoofisha na kuisambaratisha Chadema?
Kutoshiriki uchaguzi ni mzuri kama vyama vyote vya upinzani vitakubaliana.
Chadema imeishakufa Ila hawataki kusema tu.Nimemsikia muheshimiwa Mbowe akirudia msimamo wa Chadema kutoshiriki chaguzi.
Lakini kama ACT, NCCR na vyama vingine vya upinzania vikiendelea kushiriki na kusaidiwa kushinda. Na hatimaye kuwa na wabunge wao wakuchaguliwa bungeni.
Hii haitachangia kuidhoofisha na kuisambaratisha Chadema?
Kutoshiriki uchaguzi ni mzuri kama vyama vyote vya upinzani vitakubaliana.
Wanaoshangilia humu NI CCM ASILIA ,WANAONUNA HUMU NI SUKUMA GANG AU MATAGA AU CCM MPYAHahahhaa.... Si wamesema matatizo yote kaondoka nayo Magufuli na sasa wako huru? Wanaogopa nini sasa?
Kwani hawa wanaoshangilia humu siyo bavicha?
Nimeipenda comment yako.Better late than never but never late is better!
Nakubaliana na Mbowe.
Hakuna kushiriki chaguzi za kipuuzi mpaka kieleweke.
Aànze Augustino Mrema kwanza kupisha damu mpyaIfikie hatua na Mbowe apishe damu mpya kwenye uongozi wa chama, ameshachafuliwa sana kwa tuhuma mbalimbali zinazokatisha tamaa sisi tusiokuwa makada kindakindaki wa vyama vya siasa. CDM ina hazina kubwa sana ya watu, mzee akubali tu kubaki mshauri wa chama.
SIMUSEME TUUU MNAOGOPA KUGARAGAZWA ASUBUHII?? ACHENI SISI TUNAENDELEA KUWAPAMBANIA WATANZANIANimemsikia Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe wakati akihutubia Wananchi amerudia msimamo wa CHADEMA kutoshiriki chaguzi.
Amesema “Hatutashiriki Uchaguzi wowote, bado mifumo ya Uchaguzi ni ileile, Wasimamizi ni walewale, hapana, hatuna haraka ya kwenda kwenye Uchaguzi wowote mdogo wa Udiwani, Wabunge hata Mwenyekiti wa Mtaa hadi tupate mwafaka wa Kitaifa, na nafasi ya Chaguzi za Kidemokrasia”
Aidha, amewataka viongozi wastaafu na walioko madarakani wa CCM na wa Serikali, kuwaomba radhi Watanzania kutokana na dosari zilizojitokeza kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2020, ili kuleta utengamano wa Taifa.
=====
MY TAKE
Kama ACT, NCCR na vyama vingine vya upinzani vikiendelea kushiriki na kusaidiwa kushinda. Na hatimaye kuwa na wabunge wao wakuchaguliwa bungeni.
Hii haitachangia kuidhoofisha na kuisambaratisha Chadema?
Kutoshiriki uchaguzi ni mzuri kama vyama vyote vya upinzani vitakubaliana.
Hivi ndio vipaumbele.
1. Tume huru ya uchaguzi
2. Katiba mpya
Eeeh hutaki!TLP mgombea wao 2025 atakua mama Samia?
Waulizwe ACT Wazalendo walichofanywa janaNimemsikia Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe wakati akihutubia Wananchi amerudia msimamo wa CHADEMA kutoshiriki chaguzi.
Amesema “Hatutashiriki Uchaguzi wowote, bado mifumo ya Uchaguzi ni ileile, Wasimamizi ni walewale, hapana, hatuna haraka ya kwenda kwenye Uchaguzi wowote mdogo wa Udiwani, Wabunge hata Mwenyekiti wa Mtaa hadi tupate mwafaka wa Kitaifa, na nafasi ya Chaguzi za Kidemokrasia”
Aidha, amewataka viongozi wastaafu na walioko madarakani wa CCM na wa Serikali, kuwaomba radhi Watanzania kutokana na dosari zilizojitokeza kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2020, ili kuleta utengamano wa Taifa.
=====
MY TAKE
Kama ACT, NCCR na vyama vingine vya upinzani vikiendelea kushiriki na kusaidiwa kushinda. Na hatimaye kuwa na wabunge wao wakuchaguliwa bungeni.
Hii haitachangia kuidhoofisha na kuisambaratisha Chadema?
Kutoshiriki uchaguzi ni mzuri kama vyama vyote vya upinzani vitakubaliana.
Huu msimamo wa Chadema wa kususia uchaguzi kwa ajili ya tume huru na katiba mpya ni mzuri Lakini kama asilimia kubwa ya vyama vya upinzani wangekuwa na msimamo sawa!! Ubinafsi ndio itakayo kwamisha tume huru na katiba mpya!Du! Hata wewe