ITEGAMATWI
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 5,373
- 4,141
TLP mgombea wao 2025 atakua mama Samia?Je ule ushirikiano na Act ndio ulikufa tasmi!
Ila tofauti na Mfalme aliyeenda zake, Mbowe ukimpinga unabaki salama ila yule mwingine ilikuwa ukimpinga basi alikuwa anahakikisha mpaka bustani yako nyumbani inavurugwa kwa kuvamia vyanzo vya maji au vyovyote vile.Mbowe akiamua hakuna wa kupinga pale chadema
Hiyo haihalalishi udikteta wa Mbowe!Ila tofauti na Mfalme aliyeenda zake, Mbowe ukimpinga unabaki salama ila yule mwingine ilikuwa ukimpinga basi alikuwa anahakikisha mpaka bustani yako nyumbani inavurugwa kwa kuvamia vyanzo vya maji au vyovyote vile.
Mbona unateseka? hayo maswali itisha kikao cha dharura lumumba myajadili.Hiyo haihalalishi udikteta wa Mbowe!
Eti hatushiriki uchaguzi! Anamtishia nani? Ccm?
Mkuu kwani Mbowe ni mara ya kwanza kutishia kutoshiriki uchaguzi?Mbona unateseka? hayo maswali itisha kikao cha dharura lumumba myajadili.
Du! Hata wewe
Hii ndio kauli ya leo, hatujadili historia hapa.Mkuu kwani Mbowe ni mara ya kwanza kutishia kutoshiriki uchaguzi?
Ni hatua nzuri lakini ni triki!Better late than never but never late is better!
Nakubaliana na Mbowe.
Hakuna kushiriki chaguzi za kipuuzi mpaka kieleweke.
Kawaida bavicha huwa hawachanganyi na zao, upepo unapoelekea basi na wao huko huko!Hahahhaa.... Si wamesema matatizo yote kaondoka nayo Magufuli na sasa wako huru? Wanaogopa nini sasa?
Kwani hawa wanaoshangilia humu siyo bavicha?
This is the best time for ZZK to seize the moment. Ukisikia kufa kufaana basi ndiyo hii.Better late than never but never late is better!
Nakubaliana na Mbowe.
Hakuna kushiriki chaguzi za kipuuzi mpaka kieleweke.