Pre GE2025 Mbowe: Hawa wanaongea uzushi uzushi kila siku kwenye vyombo vya habari baada ya Uchaguzi tutawashughulikia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mbangaizaji wa Taifa

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2024
Posts
493
Reaction score
844
===
Freeman Mbowe anasema baada ya Uchaguzi kumalizika watawarudia wale wote waliokuwa wanatoa upotoshaji kwenye vyombo vya habari na Mitandao ya kijamii.

Huenda mambo yakawa mabaya zaidi kwa Lemma, Lissu na Heche endapo hawatashinda Uchaguzi huu kwani watalazimika kujiondoa CHADEMA kabla ya kamati kuu ya Mbowe kuwashughulikia.
 
Heche kajiunga kundi ambalo silo, Heche bado ana muda mrefu sana wa kufanya siasa, hao wengine washafikia mwisho.kifupi kajichanganya, wenzake wote wana miji ughaibuni - mwenzangu tuko naye hapa hapa Nyamongo tunagawana ugali dagaa pa kwenda hana..

aisee Heche.
 
IMG-20250116-WA0060.jpg
 
Mbona sijawahi muona hapa The Fridays Lounge...🙄
 
===
Freeman Mbowe anasema baada ya Uchaguzi kumalizika watawarudia wale wote waliokuwa wanatoa upotoshaji kwenye vyombo vya habari na Mitandao ya kijamii.

Huenda mambo yakawa mabaya zaidi kwa Lemma, Lissu na Heche endapo hawatashinda Uchaguzi huu kwani watalazimika kujiondoa CHADEMA kabla ya kamati kuu ya Mbowe kuwashughulikia.
MBOWE ana kisasi Cha Nyegere
 
Kwa kauli hii(kama ni kweli kasema) ina maana ana uhakika wa kushinda.
Dah🤔🤔....! Ngoja tuone.
 
Yaani kwa mkwara huu wa mwenyekiti ,sijui Kama brother Lissu na lema watalala ni mwendo wa kusaka kura kwa Sana maana wakishindwa wajue jiwe lililowashinda waashi Basi litageuka jiwe kuu .

Kama namuona Heche anavyowaza itakuwaje Lissu akishindwa dah wanaume tunapitia mengi Ila msimu huu basi kheri na iwe kwa Lissu bila hivyo namuoana akijendea ubelgiji kujibebea tubox twake ili aingize tumshiko
 
Heche kajiunga kundi ambalo silo, Heche bado ana muda mrefu sana wa kufanya siasa, hao wengine washafikia mwisho.kifupi kajichanganya, wenzake wote wana miji ughaibuni - mwenzangu tuko naye hapa hapa Nyamongo tunagawana ugali dagaa pa kwenda hana..

aisee Heche.
Heche kama Heche! Sema jamaa ana busara
 
Heche kajiunga kundi ambalo silo, Heche bado ana muda mrefu sana wa kufanya siasa, hao wengine washafikia mwisho.kifupi kajichanganya, wenzake wote wana miji ughaibuni - mwenzangu tuko naye hapa hapa Nyamongo tunagawana ugali dagaa pa kwenda hana..

aisee Heche.
Siasa sii kujilimbikizia mali,na usiaminishe watu ujinga wako
Siasa ni wito kama ambavyo zilivyo shughuli nyingine za wito,muache awatumikie wananchi
 
  • Thanks
Reactions: I M
Back
Top Bottom