stonecutter
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 1,724
- 2,584
Inavyoonekana ni kwamba Mbowe amemshtukia Wenje na maneno yake ya hovyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
💯Kuna mambo nilikuwa namtetea sana Mbowe kuwa hawezi kuyafanya lakini kwa ninachokishuhudia sasa baada ya Lissu kutangaza kugombea uenyekiti, Mbowe anaweza kufanya chochote kile linapokuja suala la uenyekiti wale. Hata hii ya Chacha Wangwe kiasi naanza kuiamini,huyu jamaa anaonekana yuko humble lakini kwenye suala la uenyekiti anakuwa beast.
Ohhhh.....Chama ni baba mkwe yeye ni mmoja wa waasisi na mjumbe wq kudumu!
Kiko wapi huyu ni dikteta kuliko hata dikteta Mussolini===
Freeman Mbowe anasema baada ya Uchaguzi kumalizika watawarudia wale wote waliokuwa wanatoa upotoshaji kwenye vyombo vya habari na Mitandao ya kijamii.
Huenda mambo yakawa mabaya zaidi kwa Lemma, Lissu na Heche endapo hawatashinda Uchaguzi huu kwani watalazimika kujiondoa CHADEMA kabla ya kamati kuu ya Mbowe kuwashughulikia.