Kuna mambo nilikuwa namtetea sana Mbowe kuwa hawezi kuyafanya lakini kwa ninachokishuhudia sasa baada ya Lissu kutangaza kugombea uenyekiti, Mbowe anaweza kufanya chochote kile linapokuja suala la uenyekiti wale. Hata hii ya Chacha Wangwe kiasi naanza kuiamini,huyu jamaa anaonekana yuko humble lakini kwenye suala la uenyekiti anakuwa beast.