Mi mbona siioni unaweza kuiattach hapa?Pale mwisho alisema "kwa huo uwezo nasema ni kipaji"...
Kwa mujibu wa kamusi ya Kiswahili:Ni ukweli usiofichika. Ila ukatili wake ndiyo ulimponza.
Hebu wewe fikiria tu, alivyokuwa na uwezo, na vison; lakini alishindwa vitu vidogo sana. Ila mmepoteza jembe, hao wengine, Hakuna kitu.Nafsi zitawasuta sana wanafiki nyinyi
Alikuwa katili kupita kiasiNi ukweli usiofichika. Ila ukatili wake ndiyo ulimponza.
Si umeyasikia maneno yake
Mbowe : Hayati rais Magufuli alikuwa na kipaji cha uthubutu wa hali juu, hakuwa mvivu hata kidogo..