My Sons Legacy
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 3,592
- 11,810
Kila mtu, including his enemies, aliamini kwamba JPM alikuwa chaguo la Mungu na alikuja kwa utashi kutoka juu. Je tuamini kwamba the very same GOD ameenda likizo, au ameishiwa nguvu sasa au haipenda tena nchi yetu kiasi kwamba hawezi kutupatia mwingine!??? Nothing is IMPOSSIBLE with GOD!!!
Upo sahihi.
Ni masikitiko tuu na sometimes mtu unaweza kumkufuru Mungu, kwanini yeye JPM kwani hakukua na mwengine ?
Miezi mitatu tuu wameenda kukopa hela kwa ajiri ya umeme wa jua, yani umeme wa jua kweli ? 2115MW hazitoshi, Magufuli was the utmost brain of operation needed for this country Mzee alikua na mikakati sana tena sana, na mikakati ni ile ya kugusa Taifa kwa mapana yote sio mambo kama kupeleka gesi kenya.
yaaani ndio ukweli,Umeamua kuja na ukweli mchungu kiasi hiki tena asubuhi hii!?
Sawa buana[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]