Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbaya zaidi anaweza asitokee aliye kama yeye daima hapa Tanzania. I mean it
Sio kitoto mkuu.Inaumiza mno kumkosa huyo mwamba
Mbaya zaidi anaweza asitokee aliye kama yeye daima hapa Tanzania. I mean it
Aaahh thubutuuuu sio mimi wa kumsaliti Mzee Magufuli hahahhah sio mimiHaaa!!! So, hata wewe hutaki kumwiga Bulldozer, kumbe!??? Nawe umemsaliti JPM mapema hivi.
Sio kitoto mkuu.
Golden chance never came twice
Jasmoni Tegga
Na kilichomkuta mzee kinaweza kuogopesha watu wa aina yake kutaka kuongoza nchi.
Je nani anaweza kuwa kama yeye au zaidi ?
Nafsi zitawasuta sana wanafiki nyinyi
Nasisitiza, bila kujali machache mabaya yaliyotokea, Tanzania na Africa, bado inahitaji viongozi wa aina ya hayati JPM!!
Wazungu ni watu wanaoishi kwenye mikwara mbuzi, Bwawa la umeme Rifiji, mabeberu walichimba mkwara tangu JKN na woote waliofuatia, Kiboko yao Alipoichukua nchi huyu mwamba asiyeogopa chochote hata kifo, kwa kauli yake moja tu, leo tunamiaka michache tu tuanze kushindanisha bidhaa zetu na bidhaa za mataifa mengine masokoni, kwa sababu gharama za uzalishaji zitakuwa chipa, na Tanzania itauza bidhaa zake popote pale duniani
lala salama Jemedali JPM, uliyonifunza, stayaasahau hadi naingia kaburini

Ni sawa kabisa ulichoandika, ila hoja huna, kwa sababu unachokifurahia, mbona hata wewe muda wowote tu unakuwa maiti??Huyo fashisti kafa na kaoza that’s all.
Ataendelea kuishi kaburini?Mbowe: Hayati rais Magufuli alikuwa na kipaji cha uthubutu wa hali juu, hakuwa mvivu hata kidogo.
Msema kweli mpenzi wa Mungu
Shujaa ataendelea kuishi kwa yale mema mengi, makubwa na magumu aliyofanya.