Pre GE2025 Mbowe: Ilikuwa ghafla sana Lissu kutangaza kugombea nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Taifa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
"Kama kila moja aliona kwamba anastahili kugombea hatunyimani nafasi...lakini kwamba hatukuona athari tuliona athari kwa sababu tulishakubaliana juu ya nafasi za kugombea ila ikawa ghafla sana yeye kutangaza kugombea nafasi ya Uenyekiti ngazi ya taifa..." - Freeman Mbowe kuhusu mgombea mwenza Tundu Lissu.

Your browser is not able to display this video.

Soma, Pia;
 
Je kwa kutangaza ghafla kugombea, amevunja Sheria?
 
Kumbe hajui kujieleza mpaka aandikiwe
 
Ndo maana ccm wansema chadema ni saccos ya Mbowe na taraatibu wananza kuonekana wana hoja
 
Huyo mbowe hakuna kitu humo, fedha za ruzuku, michango ya wabunge lakini chadema bado ni maskini ya kutupwa. Ameshindwa kujenga ofisi za kata ili kuimarisha idadi ya mashina na wanachama wengi huko vijijini na mijini.
Anakwambia pesa za Ruzuku hazitoshi Hata robo kuendesha chama
 
🀣🀣🀣
Mheshimiwa FAM dah You must step up aisee πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…