Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 1,353
- 3,060
Busara apeleke kwenye familia yake huku kwenye siasa zimetoshaMh. Mbowe ana busara sana - si mkurupukaji na ndiyo kinamfanya aitwe jabari la siasa Tanzania na Africa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Busara apeleke kwenye familia yake huku kwenye siasa zimetoshaMh. Mbowe ana busara sana - si mkurupukaji na ndiyo kinamfanya aitwe jabari la siasa Tanzania na Africa.
Wananchi wa Mtandao wa XHuyu kashakataliwa na wananchi
Usikute ile rushwa ya Abdul ilikua moja ya shambulizi TL akalikwepaAlimjua angemwambia mapema, angeandaa mashambulizi makali juu yake
Wamtandao wa X ndo hao hao Wajumbe tulia mshenyentweWananchi wa Mtandao wa X
Wanachama ngazi ya mkoa/wilaya huwa wanachangishana wao kwa wao kuziendesha shughuli za chama, na hawa kwa asilimia kubwa ndiyo wanamuunga mkono Lisu, fedha za ruzuku zinapigwa juu kwa juu huko . Sema huu ni mradi wa watu wachacheAnakwambia pesa za Ruzuku hazitoshi Hata robo kuendesha chama
Hawatamuweza mtoto wa mjiniWamtandao wa X ndo hao hao Wajumbe tulia mshenyentwe
Swali zuri sana 🐼Je kwa kutangaza ghafla kugombea, amevunja Sheria?
Sasa mbona Mbowe mbona kama amechanganyikiwa, anajipiga mwenyewe madongo halafu anadhani anamrusia mwingine🤣🤣🤣."Kama kila moja aliona kwamba anastahili kugombea hatunyimani nafasi...lakini kwamba hatukuona athari tuliona athari kwa sababu tulishakubaliana juu ya nafasi za kugombea ila ikawa ghafla sana yeye kutangaza kugombea nafasi ya Uenyekiti ngazi ya taifa..." - Freeman Mbowe kuhusu mgombea mwenza Tundu Lissu.
View attachment 3191687
Soma, Pia;
- Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA
- Tundu Lissu: Haikuwa rahisi kwangu kuamua kugombea Uenyekiti
- Tundu Lissu ataka viongozi wa dini waingizwe kuwa wasimamizi wa uchaguzi wa CHADEMA
Yap! Niliwahi kuwaza hivyo, Lisu akashtukia mchezoUsikute ile rushwa ya Abdul ilikua moja ya shambulizi TL akalikwepa
Wewe mnafiki tuu unaesoma upepo na comments zako za kubalance shoboWananchi wa Mtandao wa X
Na lissu amecheza kama messi yaaniAmemvuruga sana hakutegemea,
Wewe ni mjumbe au mshabiki wa mitandaoniWewe mnafiki tuu unaesoma upepo na comments zako za kubalance shobo
Mimi ni mpiga kuraWewe ni mjumbe au mshabiki wa mitandaoni
Acha kusoma upepoWewe ni mjumbe au mshabiki wa mitandaoni
Ukiingia kwenye 18 za kikeke lazima bungo utatema tu..!!😅Mh. Mbowe ana busara sana - si mkurupukaji na ndiyo kinamfanya aitwe jabari la siasa Tanzania na Africa.
Mbona yeye alibadili gia angani 2015 kwa Lowassa? Yeye Lissu akibadili gia angani kugombea uwenyekiti kuna shida gani?"Kama kila moja aliona kwamba anastahili kugombea hatunyimani nafasi...lakini kwamba hatukuona athari tuliona athari kwa sababu tulishakubaliana juu ya nafasi za kugombea ila ikawa ghafla sana yeye kutangaza kugombea nafasi ya Uenyekiti ngazi ya taifa..." - Freeman Mbowe kuhusu mgombea mwenza Tundu Lissu.
View attachment 3191687
Soma, Pia;
- Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA
- Tundu Lissu: Haikuwa rahisi kwangu kuamua kugombea Uenyekiti
- Tundu Lissu ataka viongozi wa dini waingizwe kuwa wasimamizi wa uchaguzi wa CHADEMA
Kama huyu?Yaani watu wenye midevu huwa wanaonekana kama vikaragosi