Pre GE2025 Mbowe: Ilikuwa ghafla sana Lissu kutangaza kugombea nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Taifa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
"Kama kila moja aliona kwamba anastahili kugombea hatunyimani nafasi...lakini kwamba hatukuona athari tuliona athari kwa sababu tulishakubaliana juu ya nafasi za kugombea ila ikawa ghafla sana yeye kutangaza kugombea nafasi ya Uenyekiti ngazi ya taifa..." - Freeman Mbowe kuhusu mgombea mwenza Tundu Lissu.
View attachment 3191687

Soma, Pia;

- Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA

- Tundu Lissu: Haikuwa rahisi kwangu kuamua kugombea Uenyekiti

- Tundu Lissu ataka viongozi wa dini waingizwe kuwa wasimamizi wa uchaguzi wa CHADEMA
Sasa mbona Mbowe mbona kama amechanganyikiwa, anajipiga mwenyewe madongo halafu anadhani anamrusia mwingine🤣🤣🤣.
 
"Kama kila moja aliona kwamba anastahili kugombea hatunyimani nafasi...lakini kwamba hatukuona athari tuliona athari kwa sababu tulishakubaliana juu ya nafasi za kugombea ila ikawa ghafla sana yeye kutangaza kugombea nafasi ya Uenyekiti ngazi ya taifa..." - Freeman Mbowe kuhusu mgombea mwenza Tundu Lissu.
View attachment 3191687

Soma, Pia;

- Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA

- Tundu Lissu: Haikuwa rahisi kwangu kuamua kugombea Uenyekiti

- Tundu Lissu ataka viongozi wa dini waingizwe kuwa wasimamizi wa uchaguzi wa CHADEMA
Mbona yeye alibadili gia angani 2015 kwa Lowassa? Yeye Lissu akibadili gia angani kugombea uwenyekiti kuna shida gani?

Ameingia mtego kumuongelea vibaya Lissu wakati Lissu anajenga hoja kuhusiana na chama na sio Mbowe binafsi.
 
Yaani watu wenye midevu huwa wanaonekana kama vikaragosi
Kama huyu?

IMG_7395.jpeg
 
Back
Top Bottom