Unatoka wapi wewe ? Chato ?Haya Freeman yuko mahabusu kwa sasa,hakuna wa kumtetea wala kumsaidia wala wa kuwa pamoja nae.
Anapata faida gani? Kwanini basi harakati za upinzani zisiishe rasmi kwa sababu wanaowasemea hawana hata habari nao? Inasikitisha lakini hakuna jinsi,kuwa mwanasiasa Tanzania bora uwe mtumwa ulaya tu
Kwani Magufuli alipata FAIDA GANI?Haya Freeman yuko mahabusu kwa sasa, hakuna wa kumtetea wala kumsaidia wala wa kuwa pamoja naye.
Anapata faida gani? Kwanini basi harakati za upinzani zisiishe rasmi kwa sababu wanaowasemea hawana hata habari nao?
Inasikitisha lakini hakuna jinsi,kuwa mwanasiasa Tanzania bora uwe mtumwa Ulaya tu
Ukweli ni kuwa Ccm na serikali zake (Tanganyika & Zanzibar) hawataki kuwepo na upinzani . Na wakifaulu hapa kwa Mbowe . Itaichukuwa nchi hii miaka mingi na pengine maisha kuja kuwa na upinzani halisi.Haya Freeman yuko mahabusu kwa sasa, hakuna wa kumtetea wala kumsaidia wala wa kuwa pamoja naye.
Anapata faida gani? Kwanini basi harakati za upinzani zisiishe rasmi kwa sababu wanaowasemea hawana hata habari nao?
Inasikitisha lakini hakuna jinsi,kuwa mwanasiasa Tanzania bora uwe mtumwa Ulaya tu
Shida sio Mbowe ni watanzania na inashangaza kwamba badala watu waunge mkono juhudi za ukombozi wao wanamlaumu Mbowe kwa kutofanikiwa, ndio maana serikali inafanya chochote tu kwa wananchi kwa sababu wanajua watu watakubali tu.Mm ni mpinzani lakini sioni faida ya huyo mwamba kama wanaotetewa wako kimya mpaka muda huu
Ukweli mchunguHaya Freeman yuko mahabusu kwa sasa, hakuna wa kumtetea wala kumsaidia wala wa kuwa pamoja naye.
Anapata faida gani? Kwanini basi harakati za upinzani zisiishe rasmi kwa sababu wanaowasemea hawana hata habari nao?
Inasikitisha lakini hakuna jinsi,kuwa mwanasiasa Tanzania bora uwe mtumwa Ulaya tu
Yesu Kristo alipouawa Mslabani kwa ajili ya kuwakomboa wanadamu alipata faida gani ?