Mbowe inabidi aache siasa rasmi sababu hapati faida yoyote

Get rich or die trying, kosa kubwa alilolifanya ni kutofanya transformation ya uongozi , king'ang'anizi wa madaraka ya juu , nasasa inamlazimu kujitoa mhanga Kwa ajili ya chama kinachojifia , na haya tuliyasema tangia mwanzo , na hata Kwa serikali kuu ni hvyo hvyo ongoza kulingana na katiba , usivuke mipaka , utajiletea matatizo ambayo hayana maana , katiba kama unaona inakupa ugumu wa kuongoza ni bora ufanye mchakato wa kubadili lakini sio kuivunja , utakutana na magumu mbeleni out of your control mwisho utakufa helpless , hii pia ilimkuta jiwe.!! Na Kwa Hali ilivyo kuna kundi Lina hasira na mbowe zaidi ya maelezo
Aisee
Screenshot_20210726-145223-1.jpg
JamiiForums-1797793390.jpg
 
Acha tu akae mahabusu Mbowe sio mwana siasa ila ni tapeli anaetumia kivuli cha siasa

Yeye ndio anaeua upinzani hapa Tanzania
Alivishawishi vyama vyenye nguvu viungane wakakubali na kuunda UKAWA yeye ndio akawa wa kwanza kuua ukawa

Mzee wa wutu DK Slaa alihangaika Tanzania nzima kujenga chama chama kilivyokuwa ktk pick Mbowe akauza nafasi ya kugombea uraisi kwa Lowasa

Ungozi wa chama umesha mshinda lakini yeye bado anang'ang'nia uongozi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiki kitu nimekifikiria pia, maana wanaowatetea ni malofa na wengine wanafurahia kabisa matendo wanayofanyiwa.
Hii kitu sikunyingi nilikuwa naifikiria sana, Watanzania wamesharidhika na hali ya maisha waliyonayo na hata hawafahamu wanahitaji nini kulingana na Dunia ilivyo kwasasa. Mbowe achana na Watanzania komaa na Biashara zako na familia yako.
 
Kaka mbona umetumia akili kubwa Sana kumjibu huyu jamaa? Hebu rudia Tena kusoma post yake kuanzia tu mpangilio wa uandishi wake, unadhani hicho ulichomwambia atakuwa kakuelewa kweli? Anyway WEITA ONGEZA BINGWA MBILI HAPA!!!!!!!!!!
Sio sahihi Mbowe kuacha siasa au kutokuwepo kwa upinzani Tanzania,unajua ukiwa na jogoo nyumbani wa kukuamsha afajiri ni jambo la maana sana.
 
Hii kitu sikunyingi nilikuwa naifikiria sana, Watanzania wamesharidhika na hali ya maisha waliyonayo na hata hawafahamu wanahitaji nini kulingana na Dunia ilivyo kwasasa. Mbowe achana na Watanzania komaa na Biashara zako na familia yako.
Wakati huyohuyo mbowe ndyo anatumia siasa kutajirisha familia yake[emoji3]
 
Hii kitu sikunyingi nilikuwa naifikiria sana, Watanzania wamesharidhika na hali ya maisha waliyonayo na hata hawafahamu wanahitaji nini kulingana na Dunia ilivyo kwasasa. Mbowe achana na Watanzania komaa na Biashara zako na familia yako.
Hata mm natamani sana kumpa huu ushauri. Binafsi sio mbowe tu,vyama vyote vya upinzani inabidi viache siasa ili tuteswe vya kutosha ili akili itukae sawa
 
Haya Freeman yuko mahabusu kwa sasa, hakuna wa kumtetea wala kumsaidia wala wa kuwa pamoja naye.

Anapata faida gani? Kwanini basi harakati za upinzani zisiishe rasmi kwa sababu wanaowasemea hawana hata habari nao?

Inasikitisha lakini hakuna jinsi,kuwa mwanasiasa Tanzania bora uwe mtumwa Ulaya tu
Ni kama unashauri hata Yesu kipindi kile angeachana na harakati za ukombozi. sidhani kama hii ni sawa. halafu, faida unaitazamaje? unajua anachopata? unajua furaha yake? amekushirikisha? au unamtazama tu jukwaani kisha unakuja kutype mkuu?
 
Acha kufananisha mpango wa Mungu na mipango ya binadamu bana!
 
Je anafurahia hiyo kufungwa fungwa kila mara?

Kama anafurahia hivyo basi njia nyeupe na aendelee tuu hakuna namna.. ila kwa ground ajue kila mtu anafanya yake huku
 
Watu wote wangekuwa hivi unavyowaza wewe, sidhani kama hata JF ingekuwepo leo tukawa tunachati hapa. Lakini kuna watu wapo tofauti na wewe ndo maana maisha yanaendelea. Ninadhani Mungu/nature hapa ilicheza sana.
 
Acha kufananisha mpango wa Mungu na mipango ya binadamu bana!
Kwani kazi ya Mungu mipaka yake huishia wapi? Metafizikia hii, huwa majibu ni rahisi lakini kuchambua ni kazi sana. Hapa nachat nawe ni mipango ya Mungu ama binadamu?
 
Yule ni tajiri sio mganja njaa kama wapinzani aalionunuliwa
Endelea kuamini hivyo, ipo siku tutakuwa na full kisiasa kama Rwanda, ndio tutaikumbuka hii miaka na hiki kizaizi.
 
Acha tu akae mahabusu Mbowe sio mwana siasa ila ni tapeli anaetumia kivuli cha siasa

Yeye ndio anaeua upinzani hapa Tanzania
Alivishawishi vyama vyenye nguvu viungane wakakubali na kuunda UKAWA yeye ndio akawa wa kwanza kuua ukawa

Mzee wa wutu DK Slaa alihangaika Tanzania nzima kujenga chama chama kilivyokuwa ktk pick Mbowe akauza nafasi ya kugombea uraisi kwa Lowasa

Ungozi wa chama umesha mshinda lakini yeye bado anang'ang'nia uongozi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kosa kubwa la Mbowe ni hili:

Chama kilianzia kupoteza ajenda mama hapa. Teeeeribo misteki!
DSC_6838.jpg
 
Back
Top Bottom