Uchaguzi 2020 Mbowe itampa wakati mgumu sana kumnadi Lissu

Mahela yote yale mliogawa ila bado mnawasi wasi na Lissu ? Upinzani haukwepeki.
CCM waliomba sana chadema wampitishe Nyalandu kwa sababu Ndio walikuwa wanamuweza. Sasa wasiye mtaka kapitishwa,kila mmoja Analia, nape Amalia, bashiru Analia, Pole pole Analia. Hii inatokana na Lisu hana makando kando hivyo hoja yao imebaki moja tu ametumwa na mabeberu ndio watakayoinandi majukwaani. Lakini hoja kama hoja CCM hawana zaidi ya hiyo. Kwa sababu LISSU ni msafi kuliko Magu mwenye lundo la kashfa
 
Kejuu umesahau kuweka namba yako ya simu.
 
Msikilize basi Nyerere, utakuwa umejijibu
 

Attachments

  • videoplayback.mp4
    7.4 MB
Kama saizi ameshaanza kupoteana hivyo, Mh. Magu akianza kuzunguka itakuaje?
Ccm ndio wa kupoteana, siyo Kamanda TAL. Jiwe bila kuzunguka na wale wasanii 200 wa jana waliopigana mtama hakuna mtu atatoka, labda DEDs, DC na wale watumishi waoga waoga ambao wameliwa miaka 5 hawapigi kelele.
 
Analysis za kipopoma kabisa, umfananishe mbowe na tl? Muache basi mzee wa watu, usimdharishe
nadhani wewe ndiye unahitaji kufundishwa maana naona umechanganya mambo!
 
Praise and worship for what?Only Jesus deserve such as a thing mkuu
You can still edit, and put your number there! They might remember you in their kingdom! Talking about Jesus, which one are you talking about? Kangi Lugola’s?!
And for your personal information, if sixteen bullets couldn’t put TALbdown, a collection of videos and history of Lowasa won’t!
 
Lissu anajinadi mwenyewe haitaji watu wa kumnadi Hana makando kando kama Jiwe na wakina Lowassa.
 
Kwa kweli muacheni lisu apumzike kila leo lisu lisu lisu nadhani hata mkiwa kwenye mgegedo mnakojoa huku mnamtaja lisu huko alipo atakuwa anajikwaa kwa mtindo huu, kama hamna cha kupost si muende majukwaa mengine
 
Kuna Kiongozi alisema Nitalipa cash money kwa Wakulima wa korosho, na ilitangazwa na vyombo vyote vya habari. Unfortunately ikawa kinyume chake! What is the diference between the two political opportunists?
Katika harakati za kisiasa kama hizi, the truth is sometimes swept under the carpet as a tactical way to mobilize more supporters! Aidha sishabikii uongo wa aina yeyote!
 
Lissu anajinadi mwenyewe haitaji watu wa kumnadi Hana makando kando kama Jiwe na wakina Lowassa.
Hafani na hiki hapa alichokisema Nyerere? Unasemaje kuhusu makinikia?
Lissu anajinadi mwenyewe haitaji watu wa kumnadi Hana makando kando kama Jiwe na wakina Lowassa.
Lissu anajinadi mwenyewe haitaji watu wa kumnadi Hana makando kando kama Jiwe na wakina Lowassa.
Atafloat mapema sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…