BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Wewe ndio unae umia na pia kusumbuliwa na mentality za umasikini,Unaumia ukiwa wapi mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndio unae umia na pia kusumbuliwa na mentality za umasikini,Unaumia ukiwa wapi mkuu
Hawezi kumwachia chama mtu kama Lissu labda ajitokeze mwingine nitasapoti hoja.Ushauri mzuri sana lakini ni kama unampigia mbuzi gitaa. Chawa wake na team Kizimkazi wamemzidi nguvu najua anajua uamuzi sahihi kwake ni upi lakini nguvu ya wapambe imemuelemea.
UMEANDIKA VEMA KABISA, LOOKS YOU HAVE SOME INTEGRITY.Najua ni ngumu.Najua maelezo yatakuwa mengi.Najua ndani ya nafsi unaona kama kuingia kwenye uchaguzi ni kukinusuru Chama.Najua unaumia kwa kuona uliowaamini kukugeuka na kukupiga marungu bila kikomo
Unaweza ukashinda kwenye mkutano Mkuu lakini Chadema haitakuwa ile ile nawe hutakuwa Mbowe tuliekuzoea.
Hatua ya kwanza,waombe wapambe na wafuasi wako warudisheni silaha ndani.Pamoja na kuwa wewe binafsi hujatamka neno baya dhidi ya makamu wako lakini wapambe wako wamefanya hivyo.Muache makamu wako aeleze,atokote atakavyo lakini kama ulivyofanya kwa Slaa,Lowasa,Sumaye,Mashinji na wengine fanya hivyo hivyo kwa Makamu wako.
Pumzika,unganisha wanachama na wapenzi wa Chadema na furahia maisha.
Mpumbavu mwenyewe na huyo Sultan wako,sisi tunajadili mustakabali wa Chadema kuwa na nguvu ya kuikabili CCM wewe unaleta ushambenga kwani hujui kuwa Samia amemlipa fidia wa mali zake zilizoharibiwa na yule shetani wa chato. Wewe unaangalia tumbo lako litakavyoshibishwa na Mbowe sisi tunaangalia jinsi ya kuketa mageuzi ya kweli. Mpumbavu mmoja wewe.Mbowe wakati ana shughurikiwa na Magufuri mashamba yake yanaharibiwa kule Hai si mlikuwa kimya? Wajinga nyie
Lissu anavimbishwa kichwa na keyboard warriors siku akipata kura 5 ndipo atajua hajui.Unapiga kura? una chama ya CDM? Lisu aliksea tuingie Barabarani utatoka? nyie Keybord worrior ni wajinga sana.
Kwa nini hutaki Lissu apate kipimo cha ushindani? Acha washiriki wote, sauti za watu zisikike. Mshindi apewe ushirikiano na watakaoshindwa. Kumshinikiza Mbowe ajitoe tena bila sababu ya msingi, ni kuzuia sauti za wengi wanaomuamini zisisikike.Najua ni ngumu.Najua maelezo yatakuwa mengi.Najua ndani ya nafsi unaona kama kuingia kwenye uchaguzi ni kukinusuru Chama.Najua unaumia kwa kuona uliowaamini kukugeuka na kukupiga marungu bila kikomo
Unaweza ukashinda kwenye mkutano Mkuu lakini Chadema haitakuwa ile ile nawe hutakuwa Mbowe tuliekuzoea.
Hatua ya kwanza,waombe wapambe na wafuasi wako warudisheni silaha ndani.Pamoja na kuwa wewe binafsi hujatamka neno baya dhidi ya makamu wako lakini wapambe wako wamefanya hivyo.Muache makamu wako aeleze,atokote atakavyo lakini kama ulivyofanya kwa Slaa,Lowasa,Sumaye,Mashinji na wengine fanya hivyo hivyo kwa Makamu wako.
Pumzika,unganisha wanachama na wapenzi wa Chadema na furahia maisha.
Hilo ni la wapiga kura tuwaachie wao.Hawezi kumwachia chama mtu kama Lissu labda ajitokeze mwingine nitasapoti hoja.
Nyinyi ndo mnamdanganya,in short kakalia kuti kavu anaweza kushindwa kwa aibu na njia pekee ni kushinda kwa mipango haramu ambapo baada ya hapo anajikabiz usultan kamili na kisha anajiunga na kina Lipumba.Lissu anavimbishwa kichwa na keyboard warriors siku akipata kura 5 ndipo atajua hajui.
Mbona unatukana badala ya kuachia hoja yako ijitetee? Mageuzi yatafanywa na wana CHADEMA na kwa kuanzia watayafanya katika uchaguzi. Ushindi wa yeyote kati ya hao watatu waliochukua fomu ya uenyekiti ni mwanzo wa mageuziMpumbavu mwenyewe na huyo Sultan wako,sisi tunajadili mustakabali wa Chadema kuwa na nguvu ya kuikabili CCM wewe unaleta ushambenga kwani hujui kuwa Samia amemlipa fidia wa mali zake zilizoharibiwa na yule shetani wa chato. Wewe unaangalia tumbo lako litakavyoshibishwa na Mbowe sisi tunaangalia jinsi ya kuketa mageuzi ya kweli. Mpumbavu mmoja wewe.
Soma post #7 ndiyo utaelewa kwa nini nimemjibu hivi huyu Black Power ameanza kutukana yeye hivyo nimemjibu sawa na upumbavu wake.Mbona unatukana badala ya kuachia hoja yako ijitetee? Mageuzi yatafanywa na wana CHADEMA na kwa kuanzia watayafanya katika uchaguzi. Ushindi wa yeyote kati ya hao watatu waliochukua fomu ya uenyekiti ni mwanzo wa mageuzi
Mkuu bado hujasema😂Wewe ndio unae umia na pia kusumbuliwa na mentality za umasikini,