Mbowe jitoe kwenye kinyang'anyiro

Mbowe jitoe kwenye kinyang'anyiro

Wekeeni namba zake hapa tumsalimie, kila mtu amtumie meseji ya kumwambia aachie ngazi kila baada ya lisaa kwa wiki moja atakoma
 
Kwa nini JF inaruhusu mada za hovyo kama hii
 
Ushauri mzuri sana lakini ni kama unampigia mbuzi gitaa. Chawa wake na team Kizimkazi wamemzidi nguvu najua anajua uamuzi sahihi kwake ni upi lakini nguvu ya wapambe imemuelemea.
Hawezi kumwachia chama mtu kama Lissu labda ajitokeze mwingine nitasapoti hoja.
 
Najua ni ngumu.Najua maelezo yatakuwa mengi.Najua ndani ya nafsi unaona kama kuingia kwenye uchaguzi ni kukinusuru Chama.Najua unaumia kwa kuona uliowaamini kukugeuka na kukupiga marungu bila kikomo
Unaweza ukashinda kwenye mkutano Mkuu lakini Chadema haitakuwa ile ile nawe hutakuwa Mbowe tuliekuzoea.
Hatua ya kwanza,waombe wapambe na wafuasi wako warudisheni silaha ndani.Pamoja na kuwa wewe binafsi hujatamka neno baya dhidi ya makamu wako lakini wapambe wako wamefanya hivyo.Muache makamu wako aeleze,atokote atakavyo lakini kama ulivyofanya kwa Slaa,Lowasa,Sumaye,Mashinji na wengine fanya hivyo hivyo kwa Makamu wako.
Pumzika,unganisha wanachama na wapenzi wa Chadema na furahia maisha.
UMEANDIKA VEMA KABISA, LOOKS YOU HAVE SOME INTEGRITY.

YOTE HAYA KAYALETA LISU KUROPOKA, KUROPOKA, KUROPOKA...............................

BUT: NAWE ONESHA ID YAKO YA KWELI? KAMA HUWEZI KUFANYA HIVYO BASI NA WENGINE AKINA MBOWE KATIKA HILI LA LISU WANA SABABU KAMA ZAKO ZA KUFICHA YOUR TRUE IDENTITY 😀 😀 😀 😀 😀 😀
 
Mbowe wakati ana shughurikiwa na Magufuri mashamba yake yanaharibiwa kule Hai si mlikuwa kimya? Wajinga nyie
Mpumbavu mwenyewe na huyo Sultan wako,sisi tunajadili mustakabali wa Chadema kuwa na nguvu ya kuikabili CCM wewe unaleta ushambenga kwani hujui kuwa Samia amemlipa fidia wa mali zake zilizoharibiwa na yule shetani wa chato. Wewe unaangalia tumbo lako litakavyoshibishwa na Mbowe sisi tunaangalia jinsi ya kuketa mageuzi ya kweli. Mpumbavu mmoja wewe.
 
Najua ni ngumu.Najua maelezo yatakuwa mengi.Najua ndani ya nafsi unaona kama kuingia kwenye uchaguzi ni kukinusuru Chama.Najua unaumia kwa kuona uliowaamini kukugeuka na kukupiga marungu bila kikomo
Unaweza ukashinda kwenye mkutano Mkuu lakini Chadema haitakuwa ile ile nawe hutakuwa Mbowe tuliekuzoea.
Hatua ya kwanza,waombe wapambe na wafuasi wako warudisheni silaha ndani.Pamoja na kuwa wewe binafsi hujatamka neno baya dhidi ya makamu wako lakini wapambe wako wamefanya hivyo.Muache makamu wako aeleze,atokote atakavyo lakini kama ulivyofanya kwa Slaa,Lowasa,Sumaye,Mashinji na wengine fanya hivyo hivyo kwa Makamu wako.
Pumzika,unganisha wanachama na wapenzi wa Chadema na furahia maisha.
Kwa nini hutaki Lissu apate kipimo cha ushindani? Acha washiriki wote, sauti za watu zisikike. Mshindi apewe ushirikiano na watakaoshindwa. Kumshinikiza Mbowe ajitoe tena bila sababu ya msingi, ni kuzuia sauti za wengi wanaomuamini zisisikike.
 
Familia yake na viongozi wa dini anaowaamini waliliona hili,yeye akashupaza shingo.
Wacha akaaibike ama que chama chake kupitia machawa wake pro max a.k.a untouchable
 
Lissu anavimbishwa kichwa na keyboard warriors siku akipata kura 5 ndipo atajua hajui.
Nyinyi ndo mnamdanganya,in short kakalia kuti kavu anaweza kushindwa kwa aibu na njia pekee ni kushinda kwa mipango haramu ambapo baada ya hapo anajikabiz usultan kamili na kisha anajiunga na kina Lipumba.
Hivi unafikiri lipumba naye hana chawa wake?
 
Mpumbavu mwenyewe na huyo Sultan wako,sisi tunajadili mustakabali wa Chadema kuwa na nguvu ya kuikabili CCM wewe unaleta ushambenga kwani hujui kuwa Samia amemlipa fidia wa mali zake zilizoharibiwa na yule shetani wa chato. Wewe unaangalia tumbo lako litakavyoshibishwa na Mbowe sisi tunaangalia jinsi ya kuketa mageuzi ya kweli. Mpumbavu mmoja wewe.
Mbona unatukana badala ya kuachia hoja yako ijitetee? Mageuzi yatafanywa na wana CHADEMA na kwa kuanzia watayafanya katika uchaguzi. Ushindi wa yeyote kati ya hao watatu waliochukua fomu ya uenyekiti ni mwanzo wa mageuzi
 
Soma post #7 ndiyo utaelewa kwa nini nimemjibu hivi huyu Black Power ameanza kutukana yeye hivyo nimemjibu sawa na upumbavu wake.
 
Back
Top Bottom