Pre GE2025 Mbowe kajisahau sasa anaweka hasira na sio uzalendo

Pre GE2025 Mbowe kajisahau sasa anaweka hasira na sio uzalendo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
CCM wametangaza mkutano wa waandishi wa habari, sitashangaa kuona Tundu Lisu akipokelewa CCM, yeye na Team Lisu wanaojiita washauri.
 
Mimi ni muoga sana wa kuwachukulia watu(The sleeping GIANT) poa!
Dharau zinamponza TL big time...

Angetulia awe mstaarabu as a gentleman... Mbona future ni bright?

Hizi blabla za sijui Rushwa, Uzalendo, sijui Nini, hazimsaidii chochote..

Siasa ni timing... Hao wajumbe 1200 FAM anawamudu.
 
Dharau zinamponza TL big time...

Angetulia awe mstaarabu as a gentleman... Mbona future ni bright?

Hizi blabla za sijui Rushwa, Uzalendo, sijui Nini, hazimsaidii chochote..

Siasa ni timing... Hao wajumbe 1200 FAM anawamudu.
Kwamba hao wajumbe wakibadili mawazo Mbowe atawafanya nini?
 
Dharau zinamponza TL big time...

Angetulia awe mstaarabu as a gentleman... Mbona future ni bright?

Hizi blabla za sijui Rushwa, Uzalendo, sijui Nini, hazimsaidii chochote..

Siasa ni timing... Hao wajumbe 1200 FAM anawamudu.
Anawamudu kwa kufanya nn
 
Kumbe hatunzi kauli zake tumekuwa tunamsikia akiongea kwa sauti ya mkazo kuhusu demokrasia lakini yeye hataki kuishi nayo muda wote anakumbuka kuhusu demokrasia akiwa nyuma ya mikamera

He does not keep his words, we have been listening to him behind cameras talking about democracy with authority but he does not leave with it, since he does not practice democracy, to me 21 years being a chairman without leading a government it means he is a cause of back sliding
 
Chama cha siasa kinategemea kura za wateja unlike companies ambazo zina leverage kwenye various business lines not necessarily the entire population. Kwahiyo umepotosha.


Nashangaa sana genge la mbowe lina vijana wajinga sana .
Vijana wasiojua katiba ya chama ,wasiojua katiba ya nchi ,wasiojua historia ya hivi vyama wala hawajui chochote nyuma ya mwaka 2015 .

Labda tuwakumbushe tu wapumbavu na Machawa wa Mbowe.
Mwaka 1995 uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi. Mbowe aligombea jimbo la Hai ambako ni nyumbani kwake .
Wakati huo nilikua nasoma sekondari huko huko nyumbani Moshi . Kuna watu wanafikiri kuwa nampiga vita Mbowe wakidhani Wachagga wote wanamuunga mkono kwa kila kitu .
Mwaka 1995 mbowe alishindwa na mgombea wa NCCR Mageuzi kwenye uchaguzi . Hapakuwa na tume na tume huru wala katiba mpya .
Kusema kuwa Eti Mbowe ndiye aliyejenga Chadema ni Ux3ng3 mkubwa sana. NCCR mageuzi ilishinda Mbowe kwenye jimbo la nyumbani anakotoka yeye na Edwin Mtei.
Ndani ya miaka minne Chadema ya Edwin Mtei na Mbowe ilishindwa kujijenga kwenye jimbo la nyumbani wanakotoka na alipogombea Mbowe .
Mbowe alikua kijana wa miaka 35 ' Kwenye uchaguzi huo alitumia fedha nyingi sana. Tuliamishwa kuwa alikua anafanya biashara ya madawa ya kulevya pale Bilcanas kwenye Casino yake maarufu iliyovunjwa na JPM baada ya mbowe kuasi na kushundwa kufanya kazi maalumu aliyokua amepewa ya kuwabaini wauza unga na wateja wa Casino.
Tuachane na hayo .

Jimbo la Hai ilichukuliwa na Mgombea wa NCCR mageuzi. Chama kilichomsimamisha Mrema ndani ya miezi michache tangu atoke CCM na kujiunga na NCCR Mageuzi. Wakati huo hapakuwa na Whasap wala Face book wala twitter wala Instagram wala simu za mikononi hazikua nyingi . Wakati huo TV ilikua moja tu huko mikoani yaani ITV na watu wachache walikua wanamiliki tv iliyokua inauzwa zaidi ya sh.laki 4 mpaka 5 kwa nchi 21 ambayo kwa sasa hivi ni zaidi ya sh.mil.5 za leo.

Hata hivyo Watanganyika walifuatilia Radio na tv chache na wakamfuata Mrema kumuunga mkono maana alikua mtu mwadilifu na aliyepinga rushwa ndani ya serikali ya CCM.

Kuwadharau wapiga kura eti hawajui kuwa Mbowe ni king'ang'anizi na anakifanya chama kupotezea mvuto ni kuwadharau wananchi na wasomi na wanaharakati waliotumika kwa miaka mingi kukijenga chama.

Wakati huo Mbowe anakataliwa na Wamachame kule nyumbani kwao Hai kwa tiketi ya Chadema ,kule moshi mjini kwa watu wa makabila mchanganyiko Philemon Ndesamburo alishinda ubunge kwa tiketi ya Chadema . Kule Karatu Willbrod Slaa akashinda Jimbo la Karatu kwa kwa tiketi ya Chadema .Wakati huo Dr.Slaa alikua anatokea CCM akaingia ndani ya Chadema ndani ya wiki mbili akaondoka na wanachama wa CCM na kushinda ubunge. Hapo Mbowe hakujenga chama nyumbani kwake lakini watu walikua wanafuatilia siasa kupitia kwenye magazeti na redio na tv chache sana.
Kaburu kule Kigoma akamgakagaza Mgombea wa CCM mahakamani . Kule Bunda Mzee Wasira kwa tiketi ya NCCR akamgalagaza Mgombea wa CCM.
NCCR ilpata kura nyingi sana kwa mgombea wa Urais ambaye alikua ni Mrema .
Mrema ndani ya NCCR alikubalika nchi nzima bila kujali vyama ,kabila wala dini yake.

Kilimanjaro jimbo lililopata Mbunge na madiwani wengi kutoka Chadema lilikua ni jimbo moja tu la Ndesamburo Moshi mjini .

Mbowe na Mtei walishindwa kujenga Chama chao jimboni kwao hivyo Mbowe akapigwa chini pamoja na kugawa fedha nyingi sana kwenye uchaguzi huo. Mashuleni tulikula sana mpunga kwa sababu ya kampeni za Mbowe .
Kula kwa Mbowe kura kwa NCCR.

Kwa hiyo Mbowe na genge lake la wala rushwa kudharau nguvu ya umma kwa kutumia fedha ni ni kukiua chama.

Miaka 30 huku pakiwa na vyombo vya habari vingi sana historia itajirudia kula kwa Mbowe kura kwa Lisu. Mbowe atatumia pesa nyingi sana kununua wajumbe kwa lengo la kulinda heshima yake binafsi kwa kudhani kuwa akishindwa ni fedheha ila hata amini kitakachotokea . Atapandwa na hasira na presha kubwa sana kwa hasara atakayoipata kutokana na hasara kubwa ya kupoteza pesa nyingi.

Wajumbe wakimfuata Mbowe na tamaa zake na kumchagua bila kusikiliza maoni ya wananchi wataua chama maana kampeni za ubunge ,udiwani na urais zitakua ngumu sana sana kuuza sera za Chadema ambazo hazitekelezwi kwa vitendo .Wetu wengi hasa mashabiki wa Chadema hawatapiga kura . Hii itapelekea ACT kushika nafsi ya pili na kuwa chama kikuu cha upinzani.
 
Organization ni organization na customer base tunaangalia taste ya last consumer .

It doesnt matter level ya sales kama last consumer hana taste na product yako hufanyi lolote.

CDM inafanya level zote hizo... B2B (Other political parties) B2G(Mambo ya Ruzuku,Maridhiano, Dolla etc) B2C ambayo ndio wapiga kura ambao sio issue tena kwa CDM.

Na Wameprove significantly kwa miaka 20 bila kushuka (ukiacha 2020 wa udikteta wa Marehemu).

Hakuna chama cha upinzani kinaweza fikia wananchi wengi kwa muda mfupi kwa sasa kama CDM ..hakuna .

Porojo za TL zinazimwa Jan 21 na kura za huruma kwa Mwamba kwa haya anyofanya TL ya kumdharau mwenyekit wao.

Kuhusu Financia resources za kuendesha chama, kushawish wajumbe TL hana back up yeyote ya kufanya hivyo ..

He is not going to make it, na hata Elites (B2G) hawamuamini.

Thr poor man going nowhere.

CCM ilikua chama dola kwa miaka zaidi ya 30 huku ikiwa imejijenga nchi nzima lakini Maalim Seif na Mrema waliondoka na Sunami ya wapiga kura tena wakati ambao vyombo vya habari vilikua vichache sana. Watu walimfuata Mrema sio chama .

Mbowe akishinda ataua chama kwa sababu wetu wengi hawatapiga kura wala kujitoa kuandamana. Wasomi wengi wapya hawatajuunga na chadema hasa wa makabila mengine. Kampeni za wagombea wa chadema zitakua ngumu sana.

Chadema kitakosa agenda kwenye uchaguzi. Mbowe anataka kulinda heshima yake kwa kushinda lakini sio kulinda uhai wa Chama . Hili sio sawa kwa ukuaji wa chama kinachotaka kushika dola. Hata kama Lisu hatahama chama lakini uchaguzi mkuu utakua mgumu sana kuwapigia kampeni wagombea wa Chadema kuliko ACT na Zito atapata sapoti kubwa na ile dhana ya usaliti utapotea .

Mbowe hana sera zaidi ya kusema kuwa chama ni mali yake . Hata fedha anadasaidia akina Lisu ni fedha za kifisadi na utapeli wa kisiasa na madawa ya kulevya na sio fedha halali za biashara za familia . Akiendelea tutaweka wazi kila kitu na biashara alizokuwa anazofanya kwenye CASINo yake ya Bilcanas

s
 
Mbowe anaona vijana wake anao walea na kuwaleta mjini wana dharau. Lakini kwanini uongelee mambo ya kutoa nyumba kwa Lissu?
Wanaukumbi.

Halafu mtu anachukua form kukupinga Eti ni Demokrasia,hiyo siyo Demokrasia huo ni uchimbi kabisa, Lissu katumwa.
---
“Nimetoka mbali na Lissu. Nilikuwa ninamlipia Lissu tiketi za ndege ninamgharamia safari zake kwenda Tarime kuwatetea wachimbaji Wadogo. Wakati huo hakua hata Mwanachama wa CHADEMA na nilikuwa nina mfadhili kwa mfuko wangu”.

View attachment 3194365
Wastaarabu, ukimfadhili mtu, that is charty, haupaswi kusema!. Kwa taarifa tuu, wako wana CCM wengi tuu wameifadhili Chadema, lakini hawasemi. Tenda wema uende zako, watu wengine hawana shukrani!. Huyo Abdul mwenyewe sasa hivi anajuta!. Hili somo la kuwa na shukrani Chadema tumewafundisha sana!. CHADEMA kuweni na shukrani, punguzeni kulalamika, shukuruni kwa yote. Ile kesi mbaya! Shukuruni mahakama, Mashinji, CCM, Magufuli na Watanzania au wafadhil wa Chadema nao watoke waseme?.
P
 
Mbowe ameamua kukinajisi Chama.

Baada ya Jan 21...CDM inajizika rasmi kwenye siasa za nchi hii
Hili saga usiliangalie kwa jicho kavu la nyama.

Liangalie kwa jicho la mwewe ama kwa jicho la tatu.

Ulichokisema ni sahihi 100%, isipokuwa kumwangalia kama Mbowe peke yake kubeba hiyo nia ovu ya kukivuruga chama bila kuambatanisha na sababu inayopelekea kufanya hivyo, tutakuwa hatujagonga kwenye mshono.

Huyu chama alishakigeuza shamba la bibi la uokoo wake na viongozi wote wa chini yake kama watoto wake wa kuzaa.

Rudi nyuma kidogo hadi 2015, ni sababu gani ya kimantiki iliyomfanya ampachike fisadi Lowasa kwenye ugombea?

Huyu kulamba asali hajaanza leo ujue.

Keshavimba kichwa, kwamba, hata chama kivurugikeje, hana cha kupoteza, ataendelea kuwa kwenye faida kama kina Lipumba, Cheyo na wengineo ambao uenyekiti wa chama kwao ni pesa na si kutumikia watu.

Je pia unakumbuka mambo aliyoyafanya Mrema kwenye vyama vya siasa baada ya uchaguzi mkuu wa 1995, mpaka alivyokuja kufariki?

Huyu Mbowe naye ni wale wale kasoro tarehe tu, ni mavivuruge waliopachikwa upinzani kwa malengo maalumu ya kutengeneza migogoro ya kuvuruga wapinzani wa kweli na kuinufaisha Ccm iendelee kutawala.
 
Yaani nilivyomsoma Huyu nimecheka kweli. Naye huko sehemu anajiita great thinker 🤣🤣🤣
Akili hana halafu anataka kujionyesha ni smart, eti Nokia ilikufa kwa sababu ya kutowasikiliza wateja, ingewasikiliza isingekufa, hii sijui kaitoa wapi?

Nokia ilikufa kwa sababu ya kuto embrace new technology, kuchelewa ku adopt new technology the same na Motorola.

Machawa wa mbowe wako tayari kusema chochote ili mradi kumtetea mbowe. Wakati tcra inasema watumiaji wa intaneti Tanzania wanaongezeka kila siku, yeye anasema daily internet user Tanzania ni wachache sana.

Eti watanzania wengi hawajui nini kinaendelea chadema😂.
 
Ndugu yenu TL hawezi, na wala haaminiki na Elites kwa tabia zake za kuropoka chochote bila mpangilio..
Elites ndio kina nani? Mbona JPM alikua mropokaji namba moja na akapewa urais. Acheni kuleta siasa za USA hapa, Tanzania hakuna cha elites ni kura za mwananchi ndio kila kitu mkiweza kuzilinda mbona mnapindua meza. Mlisema hata Lowassa system imemkataa mbona bado aliwapiga na upinzani ukazoa viti vya kihistoria?
Back office politics kwenye corridorr of power ni muhim sana ...
ACT wamezifanya je wamepata nini serikali za mitaa? Mbowe pia amefanya? Odinga alifanya hii je alipata nini? Tusidanganyane tukipata aggressive politicians wakadai mabadiliko hadi kura ya kila mtu iwe ina matter basi tutaona mabadiliko. Hayo ya Elites sijui blah blah Trump alipingwa na Elites wengi mnoo na bado akapiga white wash had ikulu.

Siasa za back office hazijatusaidia chini ya Mbowe, ni wakati wa siasa za Bobi Wine na Malema tuone zitatupeleka wapi zikifeli basi tutatafuta mbinu nyingine ila hatuwezi tegemea huruma za elites
 
Back
Top Bottom