FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Nilikuwa namsikiliza mwenyekiti wa maisha wa chadema anaongea na wazee wa chadema huko Unguja. Nimecheka na kusikitika sana, yaani anawapiga porojo tu, hakuna sera kabisa.
Amesema wao ni vitu viwili wanavyotaka ni "katiba mpya na tume huru ya uchaguzi", hapohapo akasema "hatuwezi kuzipata kwa kuwa hatuko kwenye vitongoji. CCM wapo huko kwenye vitongoji vyote"
Nikangoja nisikie wana sera zipi na plan ipi, masikini ya mungu, hana kabisa. Mwisho mwenyewe akasema sisi hata miaka 100 hatuwezi kupata katiba mpya.
Ikiwa Mwenyekiti kaishiwa fikra kiasi hicho na hana ubunifu wala maono ya nini chama cheke kifanye, ni hatari kubwa sana.
Ni hatari kubwa sana kuishiwa kisiasa, mwisho anaanza kumlaumu mama Samia eti "muongo". Nikacheka sana, nikaona huyu mtu kaishiwa kabisa kisiasa, yaani unamlaumu Mwenyekiti wa chama unachokipinga kuwa ni "muongo"! Khaaa, kama si kuishiwa huko ni nini?
Mbowe ameshindwa kuelewa kuwa Samia kafanya kazi yake kama Rais kamaliza. Sasa asitegemee Samia atakuwa ni kiongozi wa chadema, ingawa kafanya hivyo, kawapa sapoyti kubwa sana hata walipokuwa na mkutano wa kina shangazi wa chadema, mama Samia akaenda kuwapa tafu.
Chadomo nawapeni pole sana. Piaa chadomo na serikali nawatahadharisha sana, mtu ambae kaishiwa kabisafikra namna hii anakuwa "suicidal", anakuwa kisaikolojia hana zaidi cha kukikosa, anaweza kufanya maamuzi ya hatari bila kujali usalama wake wala wa mwengine yeyote.
Tafadhali mtazameni huyu jamaa, hatumii madawa ya kulevya? Maana madawa ya kulevya kwanza yanaanza kuathiri uwezo wa mtu wa kufikiri.
Poleni sana chadema mwenyekiti wenu kaishiwa kabisa.