Chalii Wa Kipare
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 462
- 907
Kujitenga na siasa nayo nihatari, utakutana nayo mtaani.Siasa ndivyo zilivyo, mambo yao waachie wenyewe...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kujitenga na siasa nayo nihatari, utakutana nayo mtaani.Siasa ndivyo zilivyo, mambo yao waachie wenyewe...
Kwasasa CDM inapumua kwa hisani ya Lissu. Akienda nje kupimzika basi chama chote kinakuwa kimya.
Akili yako kila nafasi ya kuzungumza na jamii ni sera tu. Hovyo kabisa!Truth must told, chadema inamuumiza sana akili mwenyekiti, maana kila mtu ni mjuaji zaidi (much know) kazi kubwa mno ameifanya mwenyekiti lakini baadhi ya viongozi wa ngazi za chini wanaona hajafanya lolote, wanachadema waheshimu kiongozi mkuu, masemango miongoni mwao waache mara moja.
Unataka mtu akiwa CCM mwananawe asiwe CCM?CCM ni chama kinachoendeshwa kiukoo,babu, baba, mwana nk.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Huyu ajuza anashinda kwenye mkeka hajui hata anachofanyaNchi inawatu wajinga sana, unamuona Mbowe tu hawa wanaofilisi Nchi hamuwaoni? Hivi kwa akili ya kawaida Mbowe anashida gani? Sisi ndio wenye shida kukaa hapa na kumjadili Mbowe badala ya kujadili namna gani tutajikomboa kutoka kwenye makucha ya Ccm ni ujinga uliopitiliza.
Una hoja gani zaidi ya ukorofi wako?Wewe wachana na mikeka yake, jibu hoja zake.
Chama kinamtegemea mtu kama Lema unategemea nini?Nilikuwa namsikiliza mwenyekiti wa maisha wa chadema anaongea na wazee wa chadema huko Unguja. Nimecheka na kusikitika sana, yaani anawapiga porojo tu, hakuna sera kabisa.
Amesema wao ni vitu viwili wanavyotaka ni "katiba mpya na tume huru ya uchaguzi", hapohapo akasema "hatuwezi kuzipata kwa kuwa hatuko kwenye vitongoji. CCM wapo huko kwenye vitongoji vyote"
Nikangoja nisikie wana sera zipi na plan ipi, masikini ya mungu, hana kabisa. Mwisho mwenyewe akasema sisi hata miaka 100 hatuwezi kupata katiba mpya.
Ikiwa Mwenyekiti kaishiwa fikra kiasi hicho na hana ubunifu wala maono ya nini chama cheke kifanye, ni hatari kubwa sana.
Ni hatari kubwa sana kuishiwa kisiasa, mwisho anaanza kumlaumu mama Samia eti "muongo". Nikacheka sana, nikaona huyu mtu kaishiwa kabisa kisiasa, yaani unamlaumu Mwenyekiti wa chama unachokipinga kuwa ni "muongo"! Khaaa, kama si kuishiwa huko ni nini?
Mbowe ameshindwa kuelewa kuwa Samia kafanya kazi yake kama Rais kamaliza. Sasa asitegemee Samia atakuwa ni kiongozi wa chadema, ingawa kafanya hivyo, kawapa sapoyti kubwa sana hata walipokuwa na mkutano wa kina shangazi wa chadema, mama Samia akaenda kuwapa tafu.
Chadomo nawapeni pole sana. Piaa chadomo na serikali nawatahadharisha sana, mtu ambae kaishiwa kabisafikra namna hii anakuwa "suicidal", anakuwa kisaikolojia hana zaidi cha kukikosa, anaweza kufanya maamuzi ya hatari bila kujali usalama wake wala wa mwengine yeyote.
Tafadhali mtazameni huyu jamaa, hatumii madawa ya kulevya? Maana madawa ya kulevya kwanza yanaanza kuathiri uwezo wa mtu wa kufikiri.
Poleni sana chadema mwenyekiti wenu kaishiwa kabisa.
Nilikuwa namsikiliza mwenyekiti wa maisha wa chadema anaongea na wazee wa chadema huko Unguja. Nimecheka na kusikitika sana, yaani anawapiga porojo tu, hakuna sera kabisa.
Amesema wao ni vitu viwili wanavyotaka ni "katiba mpya na tume huru ya uchaguzi", hapohapo akasema "hatuwezi kuzipata kwa kuwa hatuko kwenye vitongoji. CCM wapo huko kwenye vitongoji vyote"
Nikangoja nisikie wana sera zipi na plan ipi, masikini ya mungu, hana kabisa. Mwisho mwenyewe akasema sisi hata miaka 100 hatuwezi kupata katiba mpya.
Ikiwa Mwenyekiti kaishiwa fikra kiasi hicho na hana ubunifu wala maono ya nini chama cheke kifanye, ni hatari kubwa sana.
Ni hatari kubwa sana kuishiwa kisiasa, mwisho anaanza kumlaumu mama Samia eti "muongo". Nikacheka sana, nikaona huyu mtu kaishiwa kabisa kisiasa, yaani unamlaumu Mwenyekiti wa chama unachokipinga kuwa ni "muongo"! Khaaa, kama si kuishiwa huko ni nini?
Mbowe ameshindwa kuelewa kuwa Samia kafanya kazi yake kama Rais kamaliza. Sasa asitegemee Samia atakuwa ni kiongozi wa chadema, ingawa kafanya hivyo, kawapa sapoyti kubwa sana hata walipokuwa na mkutano wa kina shangazi wa chadema, mama Samia akaenda kuwapa tafu.
Chadomo nawapeni pole sana. Piaa chadomo na serikali nawatahadharisha sana, mtu ambae kaishiwa kabisafikra namna hii anakuwa "suicidal", anakuwa kisaikolojia hana zaidi cha kukikosa, anaweza kufanya maamuzi ya hatari bila kujali usalama wake wala wa mwengine yeyote.
Tafadhali mtazameni huyu jamaa, hatumii madawa ya kulevya? Maana madawa ya kulevya kwanza yanaanza kuathiri uwezo wa mtu wa kufikiri.
Poleni sana chadema mwenyekiti wenu kaishiwa kabisa.
Pesa za CHADEMA zinawahusu wanachama wao tuUnajuwa makao makuu mapya ya chadomo yamegharimu billion ngapi, kujengwa?
Sasa sema wewe, kijumba kile cha mabilioni?