Mbowe kakata tamaa kabisa. CHADEMA haina malengo wala muelekeo

Mbowe kakata tamaa kabisa. CHADEMA haina malengo wala muelekeo

Tatizo mbowe hataki kuachia uenyekiti, nafikili hataki kuamini kama wenzie wanaweza. Hili ni tatizo, lakini pia mbowe angekua mwenyekiti mwenye maono na nia njema na chama chake asingeruhusu watu kama kina tundulisu, rema kupanda majukwaani kuongea maana ni walopokaji tu.
Nafikili chadema watafute mtu makini anaejua farusafa ya siasa na muhariri wa kupitia wanayozungumza kwenye majukwaa kutokana na wakati huo au msimu huo, ili kuwadhibiti hawa wanaoropokaropoka hovyo. Wanatakiwa waandaliwe maneno ya kuongea na sio kuongea kwa utashi wa mtu.
Bado chadema kina uhovyo fulani.
Mbona hamlalamiki utawala wa kiukoo unaofanywa na viongozi wa CCM badala yake mnamuona Mbowe tu ambaye hana mjomba, shangazi, bibi, baba wala mwanawe Chadema.
 
Mbona hamlalamiki utawala wa kiukoo unaofanywa na viongozi wa CCM badala yake mnamuona Mbowe tu ambaye hana mjomba, shangazi, bibi, baba wala mwanawe Chadema.
Bila shaka atakuwa chawa, mana machawa nivipofu hawawezi kuona hicho unachosema.
 
Mbona hamlalamiki utawala wa kiukoo unaofanywa na viongozi wa CCM badala yake mnamuona Mbowe tu ambaye hana mjomba, shangazi, bibi, baba wala mwanawe Chadema.
Kwani majina yao yaliandikwa kwenye daftari la siri?? Wanatafuta pahala pa kuelezea yanayowasibu ingawa is anatumia njia ndefu mno.
 
Chadema mwenyekiti anabania ruzuku yote juu huko, chini huku hazifiki. Vipi watu wajitolee pesa zao mifukoni wakati serikali inatowa ruzuku zinaishia hukohuko kwa mwenyekitu? Fikiri.
wewe yanakuhusu nini? acha uenda wazimu
 
Truth must told, chadema inamuumiza sana akili mwenyekiti, maana kila mtu ni mjuaji zaidi (much know) kazi kubwa mno ameifanya mwenyekiti lakini baadhi ya viongozi wa ngazi za chini wanaona hajafanya lolote, wanachadema waheshimu kiongozi mkuu, masemango miongoni mwao waache mara moja.
Chadmea imevurugwa upande ule ulipoanza kuwagawia hela na kusaliti chama, hapo tu, sasaivi chadema kama taasisi huwezi kumjua huyu ni nani na yuko upande gani, kila mmoja ana lake rohoni.

Mimi nadhan chadema wafanye uhakiki wa watu wao wabadilishe viongozi wao hata ngazi za juu kumeoza sana
 
Bw. Mbowe yuko vizuri kidiplomasia atakapoondoka chadema na kuwaacha vichwa bangi ndipo chama kitakufa mazima trust me!
 
Bw. Mbowe yuko vizuri kidiplomasia atakapoondoka chadema na kuwaacha vichwa bangi ndipo chama kitakufa mazima trust me!
Ni sawa lakini Mbowe peke yake hawezi kuwa taasisi, chadema inaonekana wamelala usingizi wa pono suala la viongozi wao kununuliwa hawakulifanyia kazi wala kulihakiki kujua waliobaki ni kina nani
 
Naona ajuza umemiss tu kuanzisha uzi japo umekosa content. Maandishi mengi ila ujumbe hakuna. Sasa hapa bibi ulitaka kusemaje labda!!?

Mbowe kakata tamaa kabisa chadema haina malengo wala muelekeo.

Hapo vipi? - Makongoro Nyerere.
 
Kwanza wewe kama mwana CCM tulitegemea mtazamo kama huo juu yamkutano wa Chadema, Ila pia unaonyesha dharau juu elimu yetu nchini kwasababu unajua ukweli juu ya elimu ya Hapa tanzania.

"CCM wapo mpaka kwenye vitongoji." - Mbowe.
 
Akili zako ndogo utamuelewaje.wenye akili wamemuelewa.Kama hujamuelewa jua haikumaanishwa kwako.

"Msimtegemee Mbowe kuwavusha" - Mbowe.

Hayo ni maneno ya jemedari aliyekata tamaa.
 
Siasa ndivyo zilivyo, mambo yao waachie wenyewe...
 
Back
Top Bottom