Mbowe kakata tamaa kabisa. CHADEMA haina malengo wala muelekeo

Mbona hamlalamiki utawala wa kiukoo unaofanywa na viongozi wa CCM badala yake mnamuona Mbowe tu ambaye hana mjomba, shangazi, bibi, baba wala mwanawe Chadema.
 
Mbona hamlalamiki utawala wa kiukoo unaofanywa na viongozi wa CCM badala yake mnamuona Mbowe tu ambaye hana mjomba, shangazi, bibi, baba wala mwanawe Chadema.
Bila shaka atakuwa chawa, mana machawa nivipofu hawawezi kuona hicho unachosema.
 
Mbona hamlalamiki utawala wa kiukoo unaofanywa na viongozi wa CCM badala yake mnamuona Mbowe tu ambaye hana mjomba, shangazi, bibi, baba wala mwanawe Chadema.
Kwani majina yao yaliandikwa kwenye daftari la siri?? Wanatafuta pahala pa kuelezea yanayowasibu ingawa is anatumia njia ndefu mno.
 
Chadema mwenyekiti anabania ruzuku yote juu huko, chini huku hazifiki. Vipi watu wajitolee pesa zao mifukoni wakati serikali inatowa ruzuku zinaishia hukohuko kwa mwenyekitu? Fikiri.
wewe yanakuhusu nini? acha uenda wazimu
 
Chadmea imevurugwa upande ule ulipoanza kuwagawia hela na kusaliti chama, hapo tu, sasaivi chadema kama taasisi huwezi kumjua huyu ni nani na yuko upande gani, kila mmoja ana lake rohoni.

Mimi nadhan chadema wafanye uhakiki wa watu wao wabadilishe viongozi wao hata ngazi za juu kumeoza sana
 
Bw. Mbowe yuko vizuri kidiplomasia atakapoondoka chadema na kuwaacha vichwa bangi ndipo chama kitakufa mazima trust me!
 
Bw. Mbowe yuko vizuri kidiplomasia atakapoondoka chadema na kuwaacha vichwa bangi ndipo chama kitakufa mazima trust me!
Ni sawa lakini Mbowe peke yake hawezi kuwa taasisi, chadema inaonekana wamelala usingizi wa pono suala la viongozi wao kununuliwa hawakulifanyia kazi wala kulihakiki kujua waliobaki ni kina nani
 
Naona ajuza umemiss tu kuanzisha uzi japo umekosa content. Maandishi mengi ila ujumbe hakuna. Sasa hapa bibi ulitaka kusemaje labda!!?

Mbowe kakata tamaa kabisa chadema haina malengo wala muelekeo.

Hapo vipi? - Makongoro Nyerere.
 
Kwanza wewe kama mwana CCM tulitegemea mtazamo kama huo juu yamkutano wa Chadema, Ila pia unaonyesha dharau juu elimu yetu nchini kwasababu unajua ukweli juu ya elimu ya Hapa tanzania.

"CCM wapo mpaka kwenye vitongoji." - Mbowe.
 
Akili zako ndogo utamuelewaje.wenye akili wamemuelewa.Kama hujamuelewa jua haikumaanishwa kwako.

"Msimtegemee Mbowe kuwavusha" - Mbowe.

Hayo ni maneno ya jemedari aliyekata tamaa.
 
Siasa ndivyo zilivyo, mambo yao waachie wenyewe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…