Mizania
JF-Expert Member
- May 17, 2023
- 3,812
- 3,277
🤣🤣🤣Mwaka 2014 alifanya drama hizi tena. Wakati ule alienda kuombwa na akina mama. Mwaka 2009 wakati Zitto Kabwe amemshika Pabaya, aliwapanga wazee wa chama wakaenda kumuomba kugombea. Ni drama kulia na kushoto.