Mwaka 2014 alifanya drama hizi tena. Wakati ule alienda kuombwa na akina mama. Mwaka 2009 wakati Zitto Kabwe amemshika Pabaya, aliwapanga wazee wa chama wakaenda kumuomba kugombea. Ni drama kulia na kushoto.
Ninachosema ni kwamba, hata kama angeombwa kweli, si kwa maigizo, mtu kuombwa kuongoza inaonesha huyo mtu hajitambui, hawezi hata kujiongoza mwenyewe mpaka aongozwe na watu, hawezi kuwaongoza watu.