Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Upinzani imara ndio hufanya Serikali ya CCM yenye utendaji imara na wenye hofu Kwa Umma na tija Kwa wananchi. Pia usikivu na uwajibikaji wa haraka na majibu haraka ya kero mbalimbali
Kimsingi imani iliyopo ya hayo maridhiano ambayo ni maridhiano uchwara, pengine msingi wake ni kumponya Mbowe mwenyewe na majeraha ya kukaa Jela Kwa kesi ya Kihuni na ya kubuni ili kumkomoa yeye, katika hali ya kawaida sioni muktadha wa maridhiano ukiwa hata na hisia za machungu Kwa akina Adamoo, Ling"wenya na wengineo. Mbowe hata kwa lugha yake ya mwili na sauti alishasaliti wanachadema na upinzani kama iliyo kwa kale kajini uchwara toka Kigoma kale ka ACT wazagamba.
Hapiganii tena yafuatayo:
1. Katiba mpya
2. Tume huru
3. Haki za kisiasa hususani mikutano ya hadhara
4. Wabunge feki 19 akina Mdee
Chadema mnaotarajia kushiriki chaguzi zijazo mjipange Kwa haraka zenu kukubalika kwenu na mitaji yenu, leadership ya mwenyekiti wenu haipo. Mbowe hajawahi kuwa mpambanaji kamwe Kwa hio miaka 30 anayojisabu. Hata katika kumbukumbu ya wapinzani na wapambanaji hayupo na hata kuwepo.
Ni hayo tu mlipuko mtulie yote yenu za kichwa lazima tuambiane ukweli upinzani ukilala nchi inaoza mazima.
Wadiz na mawazo huru, fikra huru Chadema Mfuu ndio iliyopo Sasa.