Mbowe: Kilichofanyika kwa kina Mdee ni Uhuni. Rais wasitishie mishahara

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema kilichofanyika kwa wabunge 19 waliopelekwa bungeni bila idhini ya chama ilikuwa ni uhuni, na ni kuvunja Katiba.

Amesema wabunge hao walikuwa ni viongozi wao, hata hivyo mchakato wa kuwapeleka bungeni haukuwa mchakato wenye baraka za chama. Wale walikuwa sehemu yetu, lakini waliowasaidia kuingia bungeni ni wenzako (Rais Samia).

Baadhi ya vyombo vya habari vilipotosha kusema kuwa CHADEMA iliridhia kuwapeleka wabunge wale bungeni. Wale wabunge hawakilishi mtu wanawakilisha familia zao, bunge na spika wameamua kuwalinda.

Wewe Rais ndio unayeidhinisha mishahara yao, liangalie hili uepushe matumizi mabaya ya kodi za wananchi kwa wabunge wale wasiomuwakilisha mtu.

Mbowe ameyasema hayo akiongea na wanawake wa CHADEMA katika Siku ya Wanawake Duniani, ambayo Mgeni Rasmi alikuwa Rais Samia.
Amesema wabunge hao walikuwa ni viongozi wao, hata hivyo mchakato wa kuwapeleka bungeni haukuwa mchakato wenye baraka za chama. Wale walikuwa sehemu yetu, lakini waliowasaidia kuingia bungeni ni wenzako (Rais Samia).
 
Kama wamekubali ruzuku waliyoikataa kwa hoja ileile iliyowafanya wasipeleke viti maalumu basi ni ujuha kuendelea kushupaza shingo kweli hili.

Au wanataka nafasi zile wawape dada na mademu zao kama ilivyo ada
 
Nilisikitika kuona Rais anasema suala lipo mahakamani hawezi kuingilia na waliokuwepo kama wakanuna ila alipomfutia kesi Lema ambazo pia zilikuwa mahakamani wanachadema wakasifia na kusema haki imetendeka.Tz siasa zetu ni kushangilia kile kinacho kunufaisha tu.
 
Watu hawaamini kile wanachokipigania.
 
Nilisikitika kuona Rais anasema suala lipo mahakamani hawezi kuingilia na waliokuwepo kama wakanuna ila alipomfutia kesi Lema ambazo pia zilikuwa mahakamani wanachadema wakasifia na kusema haki imetendeka.Tz siasa zetu ni kushangilia kile kinacho kunufaisha tu.
Tumia akili(kama unazo) na utaweza kutofautisha kati ya kesi halisi(halali) na kesi za kimagumashi, kesi zenye mrengo wa kisiasa walizobambikiwa watu kwa sababu za kisiasa ndiyo anaziingilia kimaamuzi kwa kuwa ana resources za kila aina kumfahamisha details za kila kesi na kwa zile kesi halisi hadhubutu kutia mkono labda kuja kuwasamehe wakishahukumiwa.
 
Wengine wanaimba "amelamba asali".
FqtCSZoXwAAiYYk.jpg
FqsHL8FXsAAc-j5.jpg
 
Kama uchaguzi ulikuwa haramu, iweje CDM ipate kura halali za Kuhalalisha kupokea RUZUKU?
Does haramu mean kuwa watu hawakupiga kura? Kura zilipigwa zikaibwa nyingi......... zikavurugwa na kuufanya uchaguzi kuwa haramu, lakini kura zilipigwa ingawa kwa kwa mbinde. Hicho kilichoachwa kudanganyia watu ndicho hicho wanachotumia kupatia ruzuku baada ya MARIDHIANO. na maridhiano hayaondoi haramu bali yanaleta amani na kupunguza uhasama. maridhiano hayatafanya vitabu visiandikwe kumhusu ukatili , uuaji wa Magufuli!
 
Nilisikitika kuona Rais anasema suala lipo mahakamani hawezi kuingilia na waliokuwepo kama wakanuna ila alipomfutia kesi Lema ambazo pia zilikuwa mahakamani wanachadema wakasifia na kusema haki imetendeka.Tz siasa zetu ni kushangilia kile kinacho kunufaisha tu.
Rais hajawahi kufuta kesi yoyote na hana mamlaka hayo, kwakuwa akili yako imegoma kufanya huwezi kuelewa hilo.

Anayeshtaki kesi za jinai ni DPP na ana mamlaka ya kufuta kesi hizo.

Halima na Mzee na wenzake wao ndio wameishtaki Chadema mahakamani na siyo DPP.

Tokomeza ziro.
 
Tumia akili(kama unazo) na utaweza kutofautisha kati ya kesi halisi(halali) na kesi za kimagumashi, kesi zenye mrengo wa kisiasa walizobambikiwa watu kwa sababu za kisiasa ndiyo anaziingilia kimaamuzi kwa kuwa ana resources za kila aina kumfahamisha details za kila kesi na kwa zile kesi halisi hadhubutu kutia mkono labda kuja kuwasamehe wakishahukumiwa.
Unaweza kujiona unazo akili ukashindwa kuelewa maana ya kesi kuwa registered Mahakamani,ni mahakama gani nchini huwa inatofautisha kesi Kwa namna hiyo,kwamba hizi ni political related na hizi ni makosa kweli,ukiniletea kesi hata moja tu nitajua unaakili kweli
 
Rais hajawahi kufuta kesi yoyote na hana mamlaka hayo, kwakuwa akili yako imegoma kufanya huwezi kuelewa hilo.

Anayeshtaki kesi za jinai ni DPP na ana mamlaka ya kufuta kesi hizo.

Halima na Mzee na wenzake wao ndio wameishtaki Chadema mahakamani na siyo DPP.

Tokomeza ziro.
Hiyo Zero unayowewe Kwa kuwa unashangilia kila jambo kama zuzu tu,Na mantinki hapa ni Kesi za Lema ambazo mnashangilia Rais kusema hadharani kuwa amemfutia huku mkinuna mnaposikia Kesi ya kina mdee akisema Mahakama itaamua
 
Back
Top Bottom