Wakifukuzwa wakapelekwa kina mukya ndio watakuwa wanawakilisha wananchi? Mbunge wa viti maalum na uwakilishi wapi na wapi!Wale wabunge hawakilishi mtu wanawakilisha familia zao, bunge na spika wameamua kuwalinda.
Wewe Rais ndio unayeidhinisha mishahara yao, liangalie hili uepushe matumizi mabaya ya kodi za wananchi kwa wabunge wale wasiomuwakilisha mtu.