Does haramu mean kuwa watu hawakupiga kura? Kura zilipigwa zikaibwa nyingi......... zikavurugwa na kuufanya uchaguzi kuwa haramu, lakini kura zilipigwa ingawa kwa kwa mbinde. Hicho kilichoachwa kudanganyia watu ndicho hicho wanachotumia kupatia ruzuku baada ya MARIDHIANO. na maridhiano hayaondoi haramu bali yanaleta amani na kupunguza uhasama. maridhiano hayatafanya vitabu visiandikwe kumhusu ukatili , uuaji wa Magufuli!